Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,354
- 52,184
mh! hio ni mbayaEenh Lababa 😀, ila ukiungua ndiyo unaachwa kimoja
mh! hio ni mbayaEenh Lababa 😀, ila ukiungua ndiyo unaachwa kimoja
Sio oil chafu za gereji tena?Toka lini wanaume tukapakaa mafuta? wanaume tunapakaa uji wa dona
Vizuri 🙂Nimekuelewa Lamama 😍
ulale sasaVizuri 🙂
🚶🏼♀️kwa kweliulale sasa
for today is enough au mpaka siku ibadilike🤒🚶🏼♀️kwa kweli
😀sieleweki kwa kwelifor today is enough au mpaka siku ibadilike🤒
Ntakuchapa😀sieleweki kwa kweli
Basi naenda kulala🥲Ntakuchapa
Good night Lamama,Basi naenda kulala🥲
Thank you 🥰, Same to you LababaGood night Lamama,
Dah hahahahaToka lini wanaume tukapakaa mafuta? wanaume tunapakaa uji wa dona
Kikubwa tu usiungue 😀😀wamekataa hawataki tena kupaka uji wa dona, acha mi niendelee, nimemaliza kuupika sasa hivi nimeweka kwenye chupa kwa ajili ya kupaka asubuhi 😎😎
😄😄 nayapoza kwanza, sasa hivi nipo nanukia karafuu na iriki😁, niliweka kwenye uji, haina haja ya manukato 😁😁Kikubwa tu usiungue 😀😀
Wacha wee 😀😀😄😄 nayapoza kwanza, sasa hivi nipo nanukia karafuu na iriki😁, niliweka kwenye uji, haina haja ya manukato 😁😁
Acha ugasho.Habari ndugu jamaa na marafiki.
Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi?
Naomba msaada.