Lotion kwa waziri ni mgogoro

Lotion kwa waziri ni mgogoro

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Ndugu wadau, nimeangalia hii picha kwa makini nikagundua kuwa waziri wa utamaduni Bw. Nchimbi ana mgogoro na mafuta ya mwili. Nakumbuka enzi zile za uhujumbu uchumi, hali ya uchumi ilikuwa mbaya, watu wengine nikiwemo mimi nilitumia sabuni (magwanni) kujipaka mwilini kabla sijaenda shule. Ingekuwa vyema kwa waziri kupaka hata sabuni kama mwili wake uko allergic na lotion au mafuta mengine ya mwili.

Picha%2Bno.%2B3.jpg
 
The HOME OF GREAT THINKERS ????? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wamemwekea na ka file ka Tanzania Government ili walau ionekane alikuwa kwenye shughuli za kiserekali?!
 
Hali ya hewa ya bongo ilivyo then upige milotion hili iweje? Ngozi laini kwani yeye mtoto wa kike?

Inawezekana huenda watoto wa kike ndio wanaruhusiwa kuwa na ngozi nyororo....wow...The Great Thinker.
 
Hali ya hewa ya bongo ilivyo then upige milotion hili iweje? Ngozi laini kwani yeye mtoto wa kike?

Huyo siyo mwenzako. Mwenzio anashinda kwenye kiyoyozi full day. Ofisini AC, kwenye gari AC, nyumbani AC. Hata asipopaka lotion anapaswa apake mafuta, hali ya hewa does not justify that
 
Back
Top Bottom