AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
All black everything lol...
Tatizo sisi wanaume nao ndio tunachangia dada zetu kutaka kuanza kujichubua na kuweka weaves na extensions, maana leo nikikaa na bibie nikaanza kumsifia Beyonce na Alicia Keys lazima mchumba aone hajakamilika.
Bora umeeleza ukweli and that coming from a guy! Nashangaa sana kaka zetu huponda wanachovutiwa...lol