Ww kumbe nawe mshamba sasa Kwa taarifa zako sio Tz hiii.
Na pia tukio la mwisho si hospital tena siku 6?
Unajua hiiiBado network connection ya whatsapp inapita kwenye Mobile Service Providers wa nchi husika mkuu
Unajua Kuna watu wananguvu ya kumzuia Mungu? Wako hapa duniani?Makosa yote yaliyofanywa na wauaji au muuaji ni mpango wa Mungu ili ajulikane au wajulikane. Wamefanya uzembe mkubwa kuteka kwa kutumia simu
Duh hatari sanaHahahaha[emoji23]
Wewe n mshamba line kariakooo 10,000 tuuuu
Nakuzidi vingi kubaliUnajiona mjanja sana kuliko mimi? Na unaamiini kua unanishinda exposure au ni ujasiri wa keyboard?
Ni muhusika mwambie mwenzake tayari anapasuliwa speaker[mention]Papaa mukuubwa [/mention] wewe ni mtu mjinga kwenye chunguzi mbali mbali na hujui lolote unapotosha watu hapa
Sawa[mention]Papaa mukuubwa [/mention] wewe ni mtu mjinga kwenye chunguzi mbali mbali na hujui lolote unapotosha watu hapa
Matokeo Yako yametoka?Hio elf 10 nyingi hata elf 5 unapata kwa wasajili njaa hawa.
Hayo mambo ya laini sio kwa ishu za kitaifa,hizo tumia kwa ile pesa tuma kwa namba hii, kupokelea rushwa,kutongozea wake za watu
Du mhusika tena kupasuliwa speaker Haplo FBI na CIA na Scotland Yard ndio wanafanya hivyoNi muhusika mwambie mwenzake tayari anapasuliwa speaker
Du mhusika tena kupasuliwa speaker Haplo FBI na CIA na Scotland Yard ndio wanafanya hivyo
mission impossible mpya imetoka?[mention]Papaa mukuubwa [/mention] wewe ni mtu mjinga kwenye chunguzi mbali mbali na hujui lolote unapotosha watu hapa
Toa neno hakuna Kuna millions of death cases duniani zimekuwa closed unsolved.Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.
Ipo hivi
Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka.
Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.
Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.
Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka.
Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
Wale wanatumia technology na white magic hayo ya speaker ni huku ushenziniDu mhusika tena kupasuliwa speaker Haplo FBI na CIA na Scotland Yard ndio wanafanya hivyo
mission impossible mpya imetoka?Unajiona mjanja sana kuliko mimi? Na unaamiini kua unanishinda exposure au ni ujasiri wa keyboard?
Sio za organized mobbToa neno hakuna Kuna millions of death cases duniani zimekuwa closed unsolved.
Miaka 20 iliyopitaMatokeo Yako yametoka?