sonofsun
Member
- Mar 30, 2018
- 21
- 19
Habari za jioni wana JF, poleni na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kwa muda mrefu nmekua nikitumia jamii forums kama sehemu ya kujifunzia Mambo mbali mbali ya kimaisha kwenye nyanja tofauti tofauti.
Binafsi napendelea kutembelea jukwaa la jamii intelligence na jukwa la Mambo ya kilimo na bishara thou ! Chichat nipo namo.
Kwa kipindi chote hiko nilikua sleeping partner. namanisha nilikua nasoma nyuzi mbali mbali na comments za watu basi sikuwahi kuchangia chochote, labda kwa sababu sikujua taratibu za humu ndani lakin kadri siku zinavyozid napata abc za JF.
Kiu yangu kubwa nikutaka kua great thinker, nifikiri nje ya box, niwe na uwezo wa ku reason mambo kwa ustadi. Niwe sensitive na mazingira, niwe mtu wa logic, ni build confidence na pia niwe na some sort of wisdom.
Naomba ushauri kuhusu life style, vitabu gani vya kusoma, muvi gani za kuangalia.
Na chochote ambacho kinaweza kua msaada kutimiza kiu yangu. Asante