Looking for my soulmate

Looking for my soulmate

Hivi nyinyi mnaotafuta wanaume/wanawake humu jf mko seriously au mnatafuta attentions za watu tu? Maana mkifuatwa uko pm tunaambulia matusi tu
 
Hi people
My name is Getrude am 27 years old living in dar. Am writing this post so as to search for my soulmate whom we are going to spend the rest of our lives together.

Please all men with these qualifications come to pm;
Handsome and tall atleast 5.8ft (am 5.6ft)
A Christian
Degree and above
He should have a good income
Loving and caring
Not less than 33 years and not greater than 40.

Married men, divorced, and single fathers are strictly not allowed
Mhhhhhh...
Kwa sifa hizo, inabidi umuumbe wakwako mwenyewe.
Na hapo kwenye yai, ndio mtihani aiseeee........
Hii lugha ilio letwa na majahazi itatufanya tukose fursa..
 
Hivi nyinyi mnaotafuta wanaume/wanawake humu jf mko seriously au mnatafuta attentions za watu tu? Maana mkifuatwa uko pm tunaambulia matusi tu
Mkuu....
Kumbe nawe ulisha yaoga matusi huko PM...
Nilidhani ni mimi tu ilinitokea, ikabidi nikaushe tu kwa aibu ile..
 
I'm here soul mate, nanavyo vigezo vyote kasoro kile cha good income njoo pm
 
Not less than 33 years and not greater than 40.

emoji654.png
Married men, divorced, and single fathers are strictly not allowed
mtanzania gani katika huo umri sio single father wala not married
 
huyu anachagua sana...ndo nimeamini sasa kwann wengi wanafika miaka 35 giza totoro ndoa wanazitafuta kwa tochi..wanataman hata kuolewa na mzoa taka!
mtu shurti afike futi 5,shurt awe na degree au hujui kuna form four vichwa wanapiga dili kubwakubwa wanaendesha vogue na mahekalu yao kunduchi?na wenye degree miaka mitano wameajiriwa na wapo magomen wamepanga vyumba viwili na hata ukimwambua buni idea ya kuingiza kipato ndo kwanza anajingata tu.

WANAUME WA JF NI ZAID YA UWAJUAVYO...SUBIRI WAKAKUNYOOSHE DADA..PENZI LA KWELI HALIPO HIVI
 
Good income ndio kiasi gani? Embu Quantify....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom