Looking for a computer

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,167
12,865
Hello members,

Nahitaji Desktop computer yenye specs nzuri. Nimepata Quote moja lakini napenda kuwa na hakika kuwa sijapigwa changa la macho. Quote yenyewe hii hapa chini:

"Hi the dell PC price is as follows,
specs

Intel Pentium dual core 1.8 ghz, 1 gb memory, 160 gb hdd, dvd combo, 17" TFT and DOS OS.

windows and other software will not be installed unless you have valid genuine copy.

Price Tshs 960,000/= "

Sasa kama kuna mdau anajua naweza kupata yenye similar specs anisaidie maana nahitaji kwa sana. Kama sintopata alternative nitalazimika kununua japo ghali.

Ahsanteni
 
Shy na imani anaweza kusaidia katika hili.... ni freelance mzuri anayejua bei za computers !!!

Shy can you please help our friend Maxence?!
 
Shy na imani anaweza kusaidia katika hili.... ni freelance mzuri anayejua bei za computers !!!

Shy can you please help our friend Maxence?!
Hata ninyi mlio ughaibuni mwaweza kunisaidia kama zapatikana huko. Huku vitu vi-ghali sana. Tunajitutumua lakini aghali sana.

Laptop inafaa lakini kuna kazi nyingi natakiwa kuzifanyia kwenye Desktop hivyo niko katika uhitaji mkubwa
 
hao walio ughaibuni?.....
 
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?

Just be careful, maana pia siku hizi nasikia kuna CLONES. usijebambikizwa bei pamoja na computer! kama unajamaa anaweza kukuagizia toka nje itakuwa nzuri zaidi, lkn kwa urgency uliyo nayo jaribu kuulizia DOSTECH
 
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?

Wewe ukipata hiyo computer usiwe na wasi na OS, install copy yoyote ya XP miye nitakutafutia GENUINE KEY ya hiyo XP kutoka Microsoft na itakuwa registered kwako.

Kwa sababu unahitaji desktop, pia naweza kukupatia copy ya Ubuntu na Linux (latest core) kwani inafaa uwenazo kwenye hiyo desktop ili zikusaidie katika utundu wako mwingi wa kutafutia watu matangazo ya kazi!! Kama unakuja huku kanda ya ziwa hivi karibuni, itakuwa poa zaidi, otherwise n'takutumia copy kwa EMS.

SteveD.
 
Mama, asante kwa ushauri. Sina urgency kiwango hicho cha kutosubiri pc toka nje isipokuwa naogopa kununua pc bomu kwa bei kubwa. Thanks for your input Mama; nitawasiliana na DOSTECH.

Wewe ukipata hiyo computer usiwe na wasi na OS, install copy yoyote ya XP miye nitakutafutia GENUINE KEY ya hiyo XP kutoka Microsoft na itakuwa registered kwako.

Kwa sababu unahitaji desktop, pia naweza kukupatia copy ya Ubuntu na Linux (latest core) kwani inafaa uwenazo kwenye hiyo desktop ili zikusaidie katika utundu wako mwingi wa kutafutia watu matangazo ya kazi!! Kama unakuja huku kanda ya ziwa hivi karibuni, itakuwa poa zaidi, otherwise n'takutumia copy kwa EMS.

SteveD.
Ya kwako kiboko. Nahitaji kila ulichoandika. Naweza kupata Linux OS? Ndiyo niipendayo zaidi
 
we maxence upo wapi?mbona wanataka kukubambikia kiasi hicho,halafu hiyo laptop wanataka kufanyia shughuli gani maana naona HDD 160GB,WEKA MAHITAJI YAKO ,THEN NTAKUPAPA BEI YAKE,IKIWEZEKANA TUTAWASILIANA
 
Manouver, asante kwa bandiko hilo juu. Lakini kama unayo yoyote ile yenye bei nafuu zaidi, kwanini usiweke spec zake hapa ili tuweze kuichambua sote na kulinganisha na hizo nyingine. mfano: toa processor spec, ram, hdd na screen size/type, software unazotoa n.k. kisha sisi wote hapa jukwaani tutasema bei hiyo yako ni poa kuliko iliyotajwa hapo mwanzo au laa. Ni wazo tu.

SteveD.
 
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?

..kama ni ya kazi and not for personal use,nakushauri utumie os rasmi na si za kugushi.it'll be easy to get support.

..kama ni gharama,have a look at linux [open source] and see if it can cater for your needs! ubuntu has desktop and server versions!
 
Wewe ukipata hiyo computer usiwe na wasi na OS, install copy yoyote ya XP miye nitakutafutia GENUINE KEY ya hiyo XP kutoka Microsoft na itakuwa registered kwako.

..most useful!

Kwa sababu unahitaji desktop, pia naweza kukupatia copy ya Ubuntu na Linux nyingine (latest distro) kwani inafaa uwenazo kwenye hiyo desktop ili zikusaidie katika utundu wako mwingi wa kutafutia watu matangazo ya kazi!! Kama unakuja huku kanda ya ziwa hivi karibuni, itakuwa poa zaidi, otherwise n'takutumia copy kwa EMS.

SteveD.

..mtafutie ubuntu 8.04 lts au pclinuxos 2008.
 
Max,

Fanya price comparison kwa kuwangala www.dell.com na makampuni mengine ya computer.

Kwa dola Alfu utapata computer ya nguvu. Hiyo OS kama Steve D alivyosema isikupe shaka, wengi tunazo "nakala"!
 
Sasa wewe unayetaka mashine. Ngoja nikae vizuri jioni hii nikupe laptop ya specs nzuri/kubwa zaidi, kwa bei inayofanana na hiyo au chini kidogo. Wayase star?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom