Look at Kenyans Murdering Each Other! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Look at Kenyans Murdering Each Other!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Mar 22, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  WARNING:, mnaonywa kua hii video ina scenes za kutisha lakini ni desturi
  la hili kabila kule Kenya.
  Kwa kiwango kingine naona kua the moral
  fabric of the Kenyan society has really gone down despite what they
  claim to say.The scenario is also portrayed in chaotic way the political
  landscape has been designed or taking place(Kibaki aliiba kura, wabunge
  hawataki kulipa kodi, extra-judicial killings by the elite police,University
  student riots, njaa inauwa malefu,...orodha ni ndefu sintoweza kuimaliza humu).
  All this is happening when we have a President who claims to have
  been duly elected.Kazi ipo nduguzanguni.

  God Bless Kenya.


  [ame=http://www.liveleak.com/view?i=dae_1236854361]LiveLeak.com - Five people suspected of witchcraft burnt alive in Kenya[/ame]
   
  Last edited: Mar 23, 2009
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Semilong,

  Hawa watu kwa taarifa yako si wachawi. They are suspected of
  practicing the act.Wewe mtu akikuanzishia uvumi kua ni mchawi
  utafanzaje?Utajitetea vipi?This is a mob psychology drive.

  Kumbuka pia kuna jeshi la polisi kupeleka mtu.

  This is sick and it has no justification no way.
   
  Last edited: Mar 24, 2009
 4. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Oh my oh my...wamekosa nini hao?Cant believe it!Nimesikia jamaa mmoja anamwambia 'ogelea,ogelea kwa moto' as if ni kitu kidoogo sana.

  Abi..kulikoni?Nini hasa kisa na mkasa?Why?Kwanini?Kweli ni tuhuma za uchawi tuu?
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  BabaJ,

  Kwanza kabisa as I said hapo awali, moral fabric ya hawa mabwana
  ina utata mwingi.Lawlessness runs rampant in some areas na serikali
  haina motisha ya kudhibiti the trend.Serikali badala ya kutetea haki
  za raia, they are busy stealing money and engaging in corrupt deals.
  What do you expect when you have a President who stole an election,
  killed his citizenry blatantly and is controlled by an insane wife?
  Ushasoma French Revolution?Preamble yake ilikua na drama kama hii.

  Meanwhile raia wanakufa kwa njaa all over the country mpaka
  jama wanaomba msaada wa chakula.Afadhali Bongo mara mia.
  Yes, nimesema na kama mbaya mbaya, anayemaindi ameze wembe!

  The President,His wife and MKM are effing this once beautiful country
  up.One day in December 2007, Kenyans woke up to the beginning of
  the Kibaki Nightmare.

  Hii kitu nimemaindi kinoma!!!!
   
 6. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  I regret why i clicked play.
  That voice 'ogelea kwa moto' is haunting me already!
  Dude just sitting there, dying while seeing himself being roasted.
  duh!
   
 7. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is always something in Africa.Shame on us,yes us.We have alot of reason kwa nini wengi walio ughaibuni wanahofia kurudi minazi mirefu.The fact is huko ndiko Tanzania inakoelekea kama hatutokuwa makini.Binadamu tunafanyana kama Masokwe.AIBU AIBU AIBU.

  SAHIBA.
   
 8. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sijawahi kuona kitendo kiovu kiasi hiki. Hatuwezi kukiita unyama, kwani wanyama hawafanyi hivi kama sio kutimiza matakwa ya asilia kama vile mnyama kumua mnyama mwingine kwa ajili ya chkula.

  Watu wanachomwa na kujina wakiungua hivi hivi bado waiwa na nguvu na ufahamu wao, This is too much.
   
 9. O

  Ogah JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Abi

  Nooooooo, that is toooo bad, something must be done, yaani pale pale nikamkumbuka Mh Pinda na kauli yake. huwezi kumpa mtu adhabu ya kumuua namna ile just kwa kumtuhumu.......moto ukiwaka kwajirani......majivu huwa yanaruka.....to the direction ya neighbors wake........tutie maji
   
 10. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Oh my God!!! ABT, i do not have words to express my horror!!!

  This is done wenyewe kwa wenyewe...I can bet you, that it is about land. Start a rumour about someone being a witch/sorcerer and this is the end result. If your jirani does not like you this could be your fate!!!

  That is hell on earth. No point in dying and going to hell. If you want to see hell just go to Kisii land and you will see for yourself. Or Kilifi where they kill old people as sorcery suspects.

  Only one question? where were the police?
  Wait let me anwer my self on this one...They were out taking bribes and harrasing innocent wananchi instead of keeping peace...

  I am in mourning!!! I will where a black armband from now on.
  Kenya as i know it has gone to the dogs...Gone to hell...Gone to a place where there in no redemption.
  Being burnt alive and people watching and encouraging?!!!
  I know that in Kenya people are desperate...yes because of hunger, corruption, joblessness, bad leadership/bad governance, Mungiki, police brutality, did i miss anything? but to take it out on a fellow human being who is suffering ubnder the same yoke defies any explanation and understanding.

  This is the height of evil would put the devil to shame...

  I too hold Kibaki responsible this is all happening on his watch!!!

  Kenya as we have known and loved her is no more!!!
   
 11. t

  tk JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lakini jamani, through this clip si hao jamaa waliofanya machafu haya wameonekana. Kwa nini nao hawakamatwi? Hebu mpeleekeni Mkuu wa Polisi wa Kenya. Haiwezekani mambo haya yaishe hivi hivi. Kweli binaadamu ni worse than wanyama.
   
 12. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hii inatisha kupita kiasi. Lakini je haya yanatokea Kenya tu? Mbona hata hapa kwetu yapo au kwa kuwa hayawekwi kwenye video tukaweza kuangalia kama tulivyoona hapa? Vibaka wanachomwa moto kila kukicha hapa Tanzania na hiyo inafanyika kwa kummwagia mtu mafuta akiwa hai na kuwasha moto juu yake. Ni unyama huo huo tu. Vipi tungewekewa video ya jinsi albino wanavyokatwa viungo vyao na kuachwa wakivuja damu bila msaada wowote mpaka wanakufa, ni unyama huo huo tu. Kwa siku za karibuni imepungua kidogo lakini vikongwe kule mikoa ya Mwanza na Shinyanga walikuwa wanauwawa hivi hivi ila hatukuwahi kuonyeshwa kwenye video kama hawa.

  Nina imani serikali ya Kenya itawachukulia hatua wote waliohusika kwani wanaonekana waziwazi kwa sura na kwa mavazi hivyo haitakuwa shida kuwatambua.

  Ni zaidi ya unyama!!!!!

  Tiba
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  huu unyama sijawhai kuuona toka nizaliwa. Mungu anisaidia, nisianze kuwehuka kwenye ndoto usiku usingizini. mchana kweupeee, sijawahi kuona kabisa. watu kibao wanaangalia, jamani, jamani, hivi kuna selikali huko? pamoja na kwamba sisi wenyewe hapa tuna albino na vizee shinyaga, lakini inauma ati.
   
 14. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  God!
  nimeshindwa kuvumilia ikabidi nifunge hiyo window. Sad! sad indeed. Hii ni beyond unyama. Duh
  Mwanakijiji aliweka ile picha ya mtoto aliyeuawa kwa kukatwa viungo kule klh, mpaka leo sijaweza kula nyama.
  Lakini ukweli ndiyo huo, ndivyo maisha tunayoyaishi. I dont see the way forward.
   
 15. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo picha nilipata kuiona KTN nikatamani niisahau kabisa,
  Kwa kweli nilijisikia vibaya sijapata kuona. Kama yule ambaye anamrukia yule mama kwa kweli iliniuma mno. Hivi kwa nini mtu anamua kumuua mwenzie kama mnyama? Hata wanyama tunaokula huwa tunawaua kwa ustaarabu. Watu wamechoka na nini? Au watu wana hasira na maisha kiasi kwamba mtu akiwakosea wanaamua kumalizia hasira zao kwake. Na hapa kwetu imekuwa ikitokea mno, mara mtu aliyedhaniwa kibaka kutundikwa msalabani. Kuna siku niliwaona jamaa wamemkamata mwizi na mwingine anakimbila kituo cha mafuta kwenda kununua petrol, kwa jinsi alivyokuwa akikimbia utafikiri gari lake limezima barabarani. Pamoja na huo uuaji unaofanyika wachawi/wafanyabiashara za viungo/vibaka/wezi hawapungui. Tatizo ni nini hasa. Yaani hiyo picha unaweza kuomba Mungu atoe adhabu ya papo kwa papo
   
 16. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #16
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kenya is disintegrating no matter what they say.The social fabric
  is gone.Wewe jiulize mwera wako wapi watu wanapokufa namna hii?
  There is a Govt in place but what do I say.
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sister,

  unakumbuka "Cry the Beloved Country"?...that's where we at!
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hii inawafaa wauaji wa maalbino.....

  .....nyie mnaosikitika mnajua kwa hakika walioyafanya hao watendwa?
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
 20. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #20
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Last edited: Mar 23, 2009
Loading...