Lonely Heart

akifanya hivi
ntajua love is colour blind
and some men has this disease
but marriage is bansen banner
will burn him hard

Embu kwenda huko. . .
John kashasema "OUR first date" kwahiyo kaa chonjo bibie!!
 
Unajua ni sifa sana kutoka na Opra wa jf hata kwa sekunde??
Pesa ipo
atachagua anachotaka
afu nina upendo mkubwa kama Tabora

yaani dear john, just say yes to me
utaona magic nayoweza kufanyia

lizzy kutwa kucha yuko kwenye sare
za madira ya misuto

Kwahiyo we unataka John akuoe ili apate sifa wakati ndani analizwa kama Ndikumana?Lolz
 
I am looking for a woman aged between 18 to 24 , for dating and possibly marriage. Email :kadidi123@yahoo.com
You are too selfish brother, ... a woman aged 18 - 24 for ..., and what about your age? weka terms of reference tuzijue. Hata huyo wa 18 - 24 ana haki za kufahamu umri wako pia. Je kama una miaka 70??
 
Lizzy & Kongosho!
Nyie watu wabaya sana! Hebu oneni sasa mmeshamwogopesha kijana wa watu mpka amekimbia!
 
ujue ntakufukuza mie mwenyewe
nilikukaribisha ukiwa na mfuko wa rambo

sasa naona unataka kuzoea hapa nyumbani
hebu kawalishe wale chihua hua wangu

Yaishe bi mkubwa,sikuwa na nia mbaya....ujitahidi tu urudi salama,ukiwa salama nami na TB tuko salama...i trust you!
 
Ka small house ka kutoka nacho valentine, naskia TB atakuwa mererani!!

Kipipi,mi wa ndani sijui atakakokuwa TB,iweje mwenzangu una details zote hizi?? kazi kweli kweli,sijui nitegemee nini??
 
I am looking for a woman aged between 18 to 24 , for dating and possibly marriage. Email :kadidi123@yahoo.com

Sasa si ungeenda kule love connect kama kweli upo sirias.Halfu siku hizi mbona hizi lonelyness zimezidi hapa JF ???kuna nini?
 
You are too selfish brother, ... a woman aged 18 - 24 for ..., and what about your age? weka terms of reference tuzijue. Hata huyo wa 18 - 24 ana haki za kufahamu umri wako pia. Je kama una miaka 70??
bado niko kijana , makamo ya mika 25.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom