Lonely Heart

afu usingeweka dear john
wanamme wenzio nao wakwite dear?
Huoni kama ******

basi bora ungejiita swit hat jon, au darling jon, au honey jon

ila john english lingekutoa zaidi
 
Youtube!
Dearjohn by Music Soulchild......

Dear John don't waste ur time, to respond i'll be gone.......(na ikaendelea)

Nice song!
 
teh teh , lizy nimesema kuwa 1st we date & date then if we both agree that our chemistry much then we marry. i wonder when u will be ready 4 our 1st date?

How ready do I have to be?Nimeshakwambia NICHUKUE.
 
Dear john
nina miguu mizuri kama chupa ya bia
nina macho mazuri ya mviringo
nina pua kama ya Rejao
lina lips kama za belinda jacobs

nina saa 6 kasorobo
kiuno nyingu
shingo ya almasi urefu wa twiga
nywele kama hariri
sauti yangu kama naimba

Lakini Lizzy, hamna kitu
miguu spoko kabisa

Unataka tushindane?Looser atakua mpishi kwenye shughuli.
 
swit hat John
ujue mie nimekupa promo
hebu nichukue
ukibeep napiga
niko tayari saa hivi

teh teh , lizy nimesema kuwa 1st we date & date then if we both agree that our chemistry much then we marry. i wonder when u will be ready 4 our 1st date?
 
Dear john
nina miguu mizuri kama chupa ya bia
nina macho mazuri ya mviringo
nina pua kama ya Rejao
lina lips kama za belinda jacobs

nina saa 6 kasorobo
kiuno nyingu
shingo ya almasi urefu wa twiga
nywele kama hariri
sauti yangu kama naimba

Lakini Lizzy, hamna kitu
miguu spoko kabisa

Hahaha. . . John akikuchukua utamnyanyasa sana hizo sifa zako.

John njoo kwangu. . . najua sio mzuri kiviiiiile kwahiyo ntatulia sana ukinikubali nilivyo. Konnie ni wale waliozoea kuosha sura kwenye TV. . .kesho na keaho kutwa hata kukupikia atakwambia hawezi maana hakuumbwa mzuri ili afanye kazi.
 
umpasue wapi!
Mie ntachukua kipande ya kuanzia kiunoni kwenda chini
acha lizzy akapike supu ya mabega

si anajidai mpishi mzuri

mkuu, unaonaje kama ukileta panga tumpasue katikati ili kuepusha huu mgogoro? Lol
 
Unajua ni sifa sana kutoka na Opra wa jf hata kwa sekunde??
Pesa ipo
atachagua anachotaka
afu nina upendo mkubwa kama Tabora

yaani dear john, just say yes to me
utaona magic nayoweza kufanyia

lizzy kutwa kucha yuko kwenye sare
za madira ya misuto

Hahaha. . . John akikuchukua utamnyanyasa sana hizo sifa zako.

John njoo kwangu. . . najua sio mzuri kiviiiiile kwahiyo ntatulia sana ukinikubali nilivyo. Konnie ni wale waliozoea kuosha sura kwenye TV. . .kesho na keaho kutwa hata kukupikia atakwambia hawezi maana hakuumbwa mzuri ili afanye kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom