Jamani hizo nchi zote zilikuwa makoloni ya wanaume.......kumbukeni MTALAKA HATONGOZWI...UK ndio nchi yenye kiherehere sana kwa ulaya ,ikifuatiwa na Poland.
Kwa upande wa NATO nchi yenye chuki kwa Urusi kiongozi ni USA.
Sitegemei vita kufikia huko au kubwa kiasi Cha kuangamiza Jiji kongwe la London.
Hakuna nchi Iko nahamu ya kuingia vitani na Urusi.
Ni kwa sababu Urusi inaweza kuingamiz ulaya yote.
Urusi Ina mchanganyiko wa makombora ya kawaida yenye Nguvu za ajabu pamoja na makombora ya kinyukila.
Vita kati ya NATO na Urusi itahusisha matumizi ya silaha Kali Kaa haraka sana,hii ni kwa sababu ya kuogopa kuwahiwa.
Nani Yuko tayari kufutika katika ramani ya Dunia?
Baada ya mzozo huu kutatokea kiheshimiana kwa Hali ya juu mno.
Na Urusi itapata wapambe wengi mno.
Ila make mkijua kama NATO wakiingia majeshi kamili,basi mjue China,Korea Kaskazini,Iran,Syria na zile nchi za soviet zamani za mashariki mwa Urusi nazo zitaongia vitani.
Nani Yuko tayari kwa ulaya kwa vita ya namna hii?
British,Germany n.k kuingia kwenye uvamizi wa US kwenye nchi mbali mbali km Iraq si zama za kale eti? Tena wao ndio nchi zao haziathiriki na hizo vita wanapoingia? Na ucje sema hawaathiriki wakati British walitoa report ya vita Iraq among of stuff wakaonyesha na hasara.Kulekule umeturudisha zama wa mawe huko ww1-ww2. Now tupo zama mpya waweza ita modern world. Sijampuuza china hapo juu uelewe hilo. Iwapo itatokea full scale war kati ya nato na Russia usizani China itaingia eti kwa ushabiki wa alliance kwani huo uwezo hana kwanza uchumi wake kwa 80% anawategemea west kwahio hawezi hatarisha maslahi yake kisa nchi moja nayo ni Russia lakini pili sijaipuuza Russia kwa uwezo wake wa kivita yupo vizuri ila iwapo ikatokea vita rasmi without application of nuclear basi ndo utakua mwisho wa Vladimir Putin kuwa ikuli ya kremlin kwani atapigwa pande zote za nchi. Hizo rumors sijui za kuhack uchaguzi sio kweli ni skendo tu kama skendo nyingine and you can’t mess with the United state of America for anything except your dirty poo. Mwisho wa siku hizo plan za vita Russia hawezi shinda by any means, Mpk sasa Ukraine kule kashindwa ishika Kiev kabaki Donbas region na baadhi za vimikoa hii nimeziirisha kua nae ni mchovu.
Swali LA kitoto limeuliswa na MTU mzimaNyuklia ya urusi itafikaje London wakati amezungukwa na kambi za Marekani na NATO kwa ajili ya kufanya interception?
Huyu Urusi ni bully na kitu pekee anachoitishia nchi zingine ni Nukes pekeeWakati Russia anashambulia hivyo wengine wanamtazama tu.....Maneno mengi as if hizo nuclear weapons Anazo yeye tu.
Urusi hana shabaha mabomu yake twaweza yakuta TzNyuklia ya urusi itafikaje London wakati amezungukwa na kambi za Marekani na NATO kwa ajili ya kufanya interception?
Hatakuwa na huo muda wa kufanya huo upuuzi maana Cilos zake zote zikifunguliwa tu watu wanajua, labda atumie nyambiziMuda huo Moscow itakuwa ni majivu tupu.
RUSSIA taifa TEULEBahati mbaya sana sala za Waarabu wa Kinyerezi hazitafua dafu
Labda russia ya chalinze
Unazijua Banker BurstWarusi wameshajiandaa Kwa kujenga mahandaki makubwa Kwa hiyo uingereza ni rahisi zaidi kupotea duniani kuliko urusi Kwa sababu ni kakisiwa kadogo wakati urusi ni kubwa Sana.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kaangalie nani akiwapelekea moto wa kutosha marekani na un kwenye korean war.....tatizo mnawatukuza sana westWanajf nanyinyi kwa upambe. Sasa Syria Dunia hii ataingia vita na nani maana nchini kwake bado kuna maeneo kibao yapo chini ya waasi na Assad bado anategemea msaada toka Moscow na nchi kiujumla inahitaji misaada ya kibinadamu, North Korea ni vituko tu na roporopo za Kim nae jeuri yake anamtegemea China na Russia miaka yote hii nchi ina njaa na kile kiwanda chao cha mbolea bado hakijaisha wao ni choka mbaya, China sote twajua hana lolote wala hajawahi fanya military operations yoyote ile na sio msaada kwani nae ili awe Boss bado anawahitaji west na hawezi risk uchumi wake kisa Russia mchina sio mjinga na anajua hili kwanza kwa kipi au kwa biashara gani na Russia maana kwa biashara anawahitaji sana west na ndio wamemfanya afike hapo alipo, hao former soviet wengine hamna kitu ni mbuzi tu sasa Armenia atampiga nani au kina kazakistani na wenzie wachovu akina lukashenko ndo wakusaidie. Acheni upotoshaji. Ikiwa ni vita ya nyukria kila nchi wa west wanazo na kiushindi Russia atapoteza na baadhi ya nchi zitapoteza pia na hakuna wa kuanzisha nyukria war kwasasa hao ote ni mikwara tu.
Sasa nato wa kwa mtogole anaamini anachokiona kwenye movie za kina rambo na komando john...haoni akina biden wanaishia tu kumsuta russia na ngonjera zao ila wanaogopa kumvaaKwa kukusaidia hakuna interceptor yoyote inayo weza kudhibiti hypersonic missiles za Urusi au Uchina - hata jeshi la USA inakili ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo hatarishi.
Hapo hatuja zumgumzia kuhusu aina ya missiles ambazo zina uwezo wa kushambulia Taifa la Amerika kwa kupitia South Pole halafu kwenye anga lote la Latin Amerika yakuja kuhibukia Mexico na kuingia anga la USA na kulisambaratisha taifa hilo,kumbuka interceptors nyingi za USA ziko concentrated Alaska, hawakujuwa kwamba Warusi wanamiliki missiles za kupitia South Pole kushambulia Taifa la Amerika- bottom line is: linapo kuja suala la teknolojia ya uundaji wa missiles hatari Duniani Mrusi hana mpinzani - yeye ni maji marefu sana na Amerika inajuwa vizuri ukweli huo, wewe usione anasita kujingiza moja kwa moja kwenye mgogoro huu wa Ukraine wana sababu za msingi namely wanaogapa ku-confront jeshi la Urusi,wanajuwa mziki wa Warusi sio mchezo.
Tumekuwa tukisoma maonyo kadhaa wa kadhaa hapa yanayohusu Russia kutahadharisha nchi za ulaya na marekani tokea operation Ukraine haijaanza mpaka sasa mwezi wa 5 unaingia hakuna chochote.Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali
London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims
A close ally of Russian President Vladimir Putin has warned that London will be the first city to be bombed in the event of another world war.
Speaking on Russia's Channel 1 television, Andrey Gurulyov, a State Duma politician, said the UK capital would be hit first if the blockade of the Russian exclave Kaliningrad led to war.
"We'll destroy the entire group of enemy's space satellites during the first air operation," he said.
"No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
"Second, we'll mitigate the entire system of anti-missile defence, everywhere and 100%.
"Third, we certainly won't start from Warsaw, Paris or Berlin.
"The first to be hit will be London.
"It's crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons."
Source: Sky news.
Ndio utajua kwanini NATO wameshindwa kuingia UkraineNyuklia ya urusi itafikaje London wakati amezungukwa na kambi za Marekani na NATO kwa ajili ya kufanya interception?
Hivi nyie Ngombe urusi ndo ana izo bomu peke yake,,, Hivi Russia ana kipi kipya, uchumi wake Ni less than GDP ya California, bajeti yake ya jeshi inazidiwa na bajeti ya ulinzi ya Newyork, ebu funga DomoUK ndio nchi yenye kiherehere sana kwa ulaya ,ikifuatiwa na Poland.
Kwa upande wa NATO nchi yenye chuki kwa Urusi kiongozi ni USA.
Sitegemei vita kufikia huko au kubwa kiasi Cha kuangamiza Jiji kongwe la London.
Hakuna nchi Iko nahamu ya kuingia vitani na Urusi.
Ni kwa sababu Urusi inaweza kuingamiz ulaya yote.
Urusi Ina mchanganyiko wa makombora ya kawaida yenye Nguvu za ajabu pamoja na makombora ya kinyukila.
Vita kati ya NATO na Urusi itahusisha matumizi ya silaha Kali Kaa haraka sana,hii ni kwa sababu ya kuogopa kuwahiwa.
Nani Yuko tayari kufutika katika ramani ya Dunia?
Baada ya mzozo huu kutatokea kiheshimiana kwa Hali ya juu mno.
Na Urusi itapata wapambe wengi mno.
Ila make mkijua kama NATO wakiingia majeshi kamili,basi mjue China,Korea Kaskazini,Iran,Syria na zile nchi za soviet zamani za mashariki mwa Urusi nazo zitaongia vitani.
Nani Yuko tayari kwa ulaya kwa vita ya namna hii?
Alimpa tafu kwa sababu Adui Yao alikua mmoja.
Kwani unafikiri Hitler angeigeukia USA Urusi au nchi nyingine zisingempa tafu USA.
Mbona Sasa hivi Urusi inampa tafu USA kwenda anga za mabali?![]()


na hawasemiReading between the lines huna uelewa wowote kuhusu masuala ya sayansi not even basic Physics!! Mtu anaye fahamu masuala ya hypersonic missiles hawezi kusema hivi sasa kuna Taifa lolote kwenye nchi za magharibi yenye teknolojia ya ku-intercept delivery system zinazo kwenda kwa mwendo kasi wa hypersonic missiles ie above MACH 10 that is, lakini hypersonic missile za Warusi zinafikia mpaka mwendo kasi wa MACH 20, ndicho ninacho fafanua hapa na wala sijatikuna mtu, nazungumzia masuala ya sayansi basi,lakini naona mwenzangu anakuja juu na kutumia lugha hisiyo ya kistaarabu,wakati malengo ya jukwaa hili ni kuelimishana na kubadirishana mawazo: Look, if you can't stand the heat why stay in the Kitchen, if I may ask?



MuueBritish,Germany n.k kuingia kwenye uvamizi wa US kwenye nchi mbali mbali km Iraq si zama za kale eti? Tena wao ndio nchi zao haziathiriki na hizo vita wanapoingia? Na ucje sema hawaathiriki wakati British walitoa report ya vita Iraq among of stuff wakaonyesha na hasara.
Hivi NATO si aliance?ama we alliance waielewaje mwenzetu? Si kwamba yyt pale anaposhambuliwa mwngine anaingia, is it thing of a past???
Wakati we upo Tandale kwa tumbo watu wa Langley wanakubali kwa uchunguzi kabisa kwamba uchaguzi ulidukuliwa,unakuja kubwabwaja,dont be a di....kspeak with facts
Pitia hapo elimika kiazi urudi jamvini ukiwa umeweka kitu kichwani siyo![]()
CIA Concludes Russian Interference Aimed To Elect Trump
NPR has confirmed that intelligence officials say it's now "quite clear" Russian hackers worked to tip the presidency in Donald Trump's favor. Trump's transition team has dismissed the assessment.www.npr.org
poo(ua favorite stuff)



