London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

London will be bombed first in World War Three, Putin ally claims

Hiyo kauli ya kuishambulia Uingereza kwa nyuklia ingesemwa na kiongozi dhaifu (asiye na nguvu imara za kijeshi) kama vile Saddam au Gaddafi ingetosha kuwa sababu ya kuvamiwa kijeshi na Uingereza + NATO, ila kwa kuwa aliyesema ni mbabe wao (Urusi), Uingereza na nchi zote za NATO wanaufyata.
[emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka lakin pia nimehuzunika baada ya kumuua Saddam Hussein wakidhani ana WMD, ingekuwa ndo Libyaa mapeema tuu kingenukaaa[emoji23]
 
Mungu aepushie mbali Vita ,
Vita visikie tu huku jf,
Tuendelee kulumbana tu pro Urusi na pro Nato
But Vita vya hayo mataifa makubwa athari yake ni kubwa Sana ,
Kwanza hakutakuwa na mshindi
Pili itaua ndoto nyingi za kiuchumi za nchi zinazoendelea hayo maumivu Hadi ww wa jf utayasikia
Laiti rasimali za kuingia vitani zingeendeleza dunia in positive way
 
Warusi kwa mikwara hawajambo yani maneno mengii na vitisho juu.

Hapo Ukraine tu wanamjambisha huku akigusa nato atapigwa achakae.
 
UK ndio nchi yenye kiherehere sana kwa ulaya ,ikifuatiwa na Poland.
Kwa upande wa NATO nchi yenye chuki kwa Urusi kiongozi ni USA.
Sitegemei vita kufikia huko au kubwa kiasi Cha kuangamiza Jiji kongwe la London.
Hakuna nchi Iko nahamu ya kuingia vitani na Urusi.
Ni kwa sababu Urusi inaweza kuingamiz ulaya yote.
Urusi Ina mchanganyiko wa makombora ya kawaida yenye Nguvu za ajabu pamoja na makombora ya kinyukila.
Vita kati ya NATO na Urusi itahusisha matumizi ya silaha Kali Kaa haraka sana,hii ni kwa sababu ya kuogopa kuwahiwa.
Nani Yuko tayari kufutika katika ramani ya Dunia?
Baada ya mzozo huu kutatokea kiheshimiana kwa Hali ya juu mno.
Na Urusi itapata wapambe wengi mno.
Ila make mkijua kama NATO wakiingia majeshi kamili,basi mjue China,Korea Kaskazini,Iran,Syria na zile nchi za soviet zamani za mashariki mwa Urusi nazo zitaongia vitani.
Nani Yuko tayari kwa ulaya kwa vita ya namna hii?

Wanajf nanyinyi kwa upambe. Sasa Syria Dunia hii ataingia vita na nani maana nchini kwake bado kuna maeneo kibao yapo chini ya waasi na Assad bado anategemea msaada toka Moscow na nchi kiujumla inahitaji misaada ya kibinadamu, North Korea ni vituko tu na roporopo za Kim nae jeuri yake anamtegemea China na Russia miaka yote hii nchi ina njaa na kile kiwanda chao cha mbolea bado hakijaisha wao ni choka mbaya, China sote twajua hana lolote wala hajawahi fanya military operations yoyote ile na sio msaada kwani nae ili awe Boss bado anawahitaji west na hawezi risk uchumi wake kisa Russia mchina sio mjinga na anajua hili kwanza kwa kipi au kwa biashara gani na Russia maana kwa biashara anawahitaji sana west na ndio wamemfanya afike hapo alipo, hao former soviet wengine hamna kitu ni mbuzi tu sasa Armenia atampiga nani au kina kazakistani na wenzie wachovu akina lukashenko ndo wakusaidie. Acheni upotoshaji. Ikiwa ni vita ya nyukria kila nchi wa west wanazo na kiushindi Russia atapoteza na baadhi ya nchi zitapoteza pia na hakuna wa kuanzisha nyukria war kwasasa hao ote ni mikwara tu.
 
Warusi kwa mikwara hawajambo yani maneno mengii na vitisho juu.

Hapo Ukraine tu wanamjambisha huku akigusa nato atapigwa achakae.
Wakati wasema hayo, hao NATO wanaishia kufanya mazoezi wanaogopa kumpiga wala kutuma silaha alizokataza na kuwaambia mkileta ntawachukulia mmeanzisha vita,nawachapa na wanafyata,we umevimbiwa maharage walosoka tuu eti atapigwa, chill utafakari vyema
 
Wanajf nanyinyi kwa upambe. Sasa Syria Dunia hii ataingia vita na nani maana nchini kwake bado kuna maeneo kibao yapo chini ya waasi na Assad bado anategemea msaada toka Moscow na nchi kiujumla inahitaji misaada ya kibinadamu, North Korea ni vituko tu na roporopo za Kim nae jeuri yake anamtegemea China na Russia miaka yote hii nchi ina njaa na kile kiwanda chao cha mbolea bado hakijaisha wao ni choka mbaya, China sote twajua hana lolote wala hajawahi fanya military operations yoyote ile na sio msaada kwani nae ili awe Boss bado anawahitaji west na hawezi risk uchumi wake kisa Russia mchina sio mjinga na anajua hili kwanza kwa kipi au kwa biashara gani na Russia maana kwa biashara anawahitaji sana west na ndio wamemfanya afike hapo alipo, hao former soviet wengine hamna kitu ni mbuzi tu sasa Armenia atampiga nani au kina kazakistani na wenzie wachovu akina lukashenko ndo wakusaidie. Acheni upotoshaji. Ikiwa ni vita ya nyukria kila nchi wa west wanazo na kiushindi Russia atapoteza na baadhi ya nchi zitapoteza pia na hakuna wa kuanzisha nyukria war kwasasa hao ote ni mikwara tu.
👏👏👏 Umeandika vyema tena mengi bila uvivu ila China si dhaifu kijeshi km usemavyo, cheki kweny list ya nchi zenye majeshi imara, pia alliance ni alliance tu,pindi austria hungary anapgana na serbia mjerumani akaingilia,je alikua ananufaika na nn kwake?
U cant underestimate Russia,alihack uchaguz wa US juz tu,unadhani ni tech ndgo anayo? Nani amekuambia watatumia nuclear maana andiko halna nuclear.
MWSHO,UNADHANI PLAN ZA VITA ZINATANGAZWA HIVI?
 
Time will tell 🤣🤣🤣Nilitumia msemo huu kwa mbowe na katiba now muda unanena
 
Nyuklia ya urusi itafikaje London wakati amezungukwa na kambi za Marekani na NATO kwa ajili ya kufanya interception?
Kwa kukusaidia hakuna interceptor yoyote inayo weza kudhibiti hypersonic missiles za Urusi au Uchina - hata jeshi la USA inakili ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo hatarishi.

Hapo hatuja zumgumzia kuhusu aina ya missiles ambazo zina uwezo wa kushambulia Taifa la Amerika kwa kupitia South Pole halafu kwenye anga lote la Latin Amerika yakuja kuhibukia Mexico na kuingia anga la USA na kulisambaratisha taifa hilo,kumbuka interceptors nyingi za USA ziko concentrated Alaska, hawakujuwa kwamba Warusi wanamiliki missiles za kupitia South Pole kushambulia Taifa la Amerika- bottom line is: linapo kuja suala la teknolojia ya uundaji wa missiles hatari Duniani Mrusi hana mpinzani - yeye ni maji marefu sana na Amerika inajuwa vizuri ukweli huo, wewe usione anasita kujingiza moja kwa moja kwenye mgogoro huu wa Ukraine wana sababu za msingi namely wanaogapa ku-confront jeshi la Urusi,wanajuwa mziki wa Warusi sio mchezo.
 
[emoji122][emoji122][emoji122] Umeandika vyema tena mengi bila uvivu ila China si dhaifu kijeshi km usemavyo, cheki kweny list ya nchi zenye majeshi imara, pia alliance ni alliance tu,pindi austria hungary anapgana na serbia mjerumani akaingilia,je alikua ananufaika na nn kwake?
U cant underestimate Russia,alihack uchaguz wa US juz tu,unadhani ni tech ndgo anayo? Nani amekuambia watatumia nuclear maana andiko halna nuclear.
MWSHO,UNADHANI PLAN ZA VITA ZINATANGAZWA HIVI?

Kulekule umeturudisha zama wa mawe huko ww1-ww2. Now tupo zama mpya waweza ita modern world. Sijampuuza china hapo juu uelewe hilo. Iwapo itatokea full scale war kati ya nato na Russia usizani China itaingia eti kwa ushabiki wa alliance kwani huo uwezo hana kwanza uchumi wake kwa 80% anawategemea west kwahio hawezi hatarisha maslahi yake kisa nchi moja nayo ni Russia lakini pili sijaipuuza Russia kwa uwezo wake wa kivita yupo vizuri ila iwapo ikatokea vita rasmi without application of nuclear basi ndo utakua mwisho wa Vladimir Putin kuwa ikuli ya kremlin kwani atapigwa pande zote za nchi. Hizo rumors sijui za kuhack uchaguzi sio kweli ni skendo tu kama skendo nyingine and you can’t mess with the United state of America for anything except your dirty poo [emoji90]. Mwisho wa siku hizo plan za vita Russia hawezi shinda by any means, Mpk sasa Ukraine kule kashindwa ishika Kiev kabaki Donbas region na baadhi za vimikoa hii nimeziirisha kua nae ni mchovu.
 
Kwa kukusaidia hakuna interceptor yoyote inayo weza kudhibiti hypersonic missiles za Urusi au Uchina - hata jeshi la USA inakili ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo hatarishi.

Hapo hatuja zumgumzia kuhusu aina ya missiles ambazo zina uwezo wa kushambulia Taifa la Amerika kwa kupitia South Pole,Latin Amerika yana hibukia Mexico na kuisambaratisha USA - kwenye masuala ya missiles hatari sana Duniani Mrusi hana mpinzani - yeye ni maji marefu na Amerika inajuwa ukweli huo, wewe usione anasita kujingiza moja kwa moja kwenye mugogoro huu bila sasa,unajuwa mziki wa Warusi sio mchezo.

Rumors tu hizo dogo. Ulishawahi ona hata siku moja usa [emoji631] anaonesha mavifaa au misafara ya kijeshi. You can’t mess with the United States of America in term of military. Kwanza mwenzio ana base za kijeshi Dunia nzima nyingine zimemzunguka huyo Russia wote tumeona na tunaendelea kuona yaani nchi ndogo kama Ukraine Russia kashindwa iteka Kiev kabaki Donbas region na baazi ya vimikoa. nyinyi mnakuja na ngonjera eti apigane na America au mmekula uchafu. Eti missile zipite South Pole mala Latin America kwahio mnazani missile ni manati yaani yanaruka tu na kuibuka sehemu, uandishi wako mbovu sana huenda ujui kitu kuhusu millitary maana uandishi wako tu unaonekana na nauona, nimeziirisha wewe unaleta Habari za utoto huna uchambuzi wa kiufundi bali Una andika ngonjera.
 
Reading between the lines huna uelewa wowote kuhusu masuala ya sayansi not even basic Physics!! Mtu anaye fahamu masuala ya hypersonic missiles hawezi kusema hivi sasa kuna Taifa lolote kwenye nchi za magharibi yenye teknolojia ya ku-intercept delivery system zinazo kwenda kwa mwendo kasi wa hypersonic missiles ie above MACH 10 that is, lakini hypersonic missile za Warusi zinafikia mpaka mwendo kasi wa MACH 20, ndicho ninacho fafanua hapa na wala sijatikuna mtu, nazungumzia masuala ya sayansi basi,lakini naona mwenzangu anakuja juu na kutumia lugha hisiyo ya kistaarabu,wakati malengo ya jukwaa hili ni kuelimishana na kubadirishana mawazo: Look, if you can't stand the heat why stay in the Kitchen, if I may ask?
 
Reading between the lines huna uelewa wowote kuhusu masuala sayansi not even basic Physics!! Mtu anaye fahamu masuala ya hypersonic missiles hawezi kusema hivi sasa kuna Taifa lolote kwenye mataifa ya magharibi ambayo yana uwezo WA ku-intercept delivery system zinazo kwenda kwa kasi Ta hypersonic above MACH 10 that is za Warusi zinafikia MACH 20, ndicho ninacho fafanua hapa na wala sijatikuna mtu, nazungumzia masuala ya sayansi basi.
Usipoteze muda nae.. Alichoandika tu huna budi kuachana nae .
 
Kulekule umeturudisha zama wa mawe huko ww1-ww2. Now tupo zama mpya waweza ita modern world. Sijampuuza china hapo juu uelewe hilo. Iwapo itatokea full scale war kati ya nato na Russia usizani China itaingia eti kwa ushabiki wa alliance kwani huo uwezo hana kwanza uchumi wake kwa 80% anawategemea west kwahio hawezi hatarisha maslahi yake kisa nchi moja nayo ni Russia lakini pili sijaipuuza Russia kwa uwezo wake wa kivita yupo vizuri ila iwapo ikatokea vita rasmi without application of nuclear basi ndo utakua mwisho wa Vladimir Putin kuwa ikuli ya kremlin kwani atapigwa pande zote za nchi. Hizo rumors sijui za kuhack uchaguzi sio kweli ni skendo tu kama skendo nyingine and you can’t mess with the United state of America for anything except your dirty poo [emoji90]. Mwisho wa siku hizo plan za vita Russia hawezi shinda by any means, Mpk sasa Ukraine kule kashindwa ishika Kiev kabaki Donbas region na baadhi za vimikoa hii nimeziirisha kua nae ni mchovu.
Hawawezi kukuelewa hao. Linapokuja suala la mipango ya udhalimu na fitina, US na UK hawanaga mpinzani. Na haa tecs zao zipo juu mno.
 
Back
Top Bottom