Kwa kukusaidia hakuna interceptor yoyote inayo weza kudhibiti hypersonic missiles za Urusi au Uchina - hata jeshi la USA inakili ukweli huo kwamba hawana kinga dhidi ya makombora hayo hatarishi.
Hapo hatuja zumgumzia kuhusu aina ya missiles ambazo zina uwezo wa kushambulia Taifa la Amerika kwa kupitia South Pole halafu kwenye anga lote la Latin Amerika yakuja kuhibukia Mexico na kuingia anga la USA na kulisambaratisha taifa hilo,kumbuka interceptors nyingi za USA ziko concentrated Alaska, hawakujuwa kwamba Warusi wanamiliki missiles za kupitia South Pole kushambulia Taifa la Amerika- bottom line is: linapo kuja suala la teknolojia ya uundaji wa missiles hatari Duniani Mrusi hana mpinzani - yeye ni maji marefu sana na Amerika inajuwa vizuri ukweli huo, wewe usione anasita kujingiza moja kwa moja kwenye mgogoro huu wa Ukraine wana sababu za msingi namely wanaogapa ku-confront jeshi la Urusi,wanajuwa mziki wa Warusi sio mchezo.