London Terror Attacks: 6 people killed 20 Injured

London Terror Attacks: 6 people killed 20 Injured

Kumbe nchi za magharibi ndiko kuna watu wenye kustahili kuishi pekee, mashariki ya kati wao hawastahili kuishi
wao wanaamini wafe upesi wakafaidi mahulu.72 wenye makalio ft.40 kiuno kama nyigu macho kama vikombe na ku-update dhakar isisinyae...[emoji4]
 
05b7cedcdcc887e2274fbe38f32cd568.jpg
[emoji123] [emoji106] [emoji4]
 
Nchi za kiarab zikemee nini wakati hawa watu ni raia wa UK ni jukumu lao waingereza kupambana wenyewe siwanadai wao wanawapelelezi wakubwa vifaa vya kujilinda na wanaweza kupigana na taifa lolote na kuondoa viongozi wa nchi huru madarakani mf.Saddam husein na Gaddafi na sasa wanapigana syria kumuondoa Bashar al Asad wajilinde na nyumbani sasa yasitokee
That's true,ukitazama kwa jicho la tatu wao ndo chanzo cha ugaidi.
 
Polisi nchini humo wamesema, polisi walifanikiwa kuwaua washambuliaji watatu kati yao.London. Watu sita wameuawa na wengine 48 kujeruhiwa katika shambulio linalodaiwa kuwa la kigaidi leo, jijini London, Uingereza.

Polisi nchini humo wamesema, polisi walifanikiwa kuwaua washambuliaji watatu kati yao. Ghasia zilianza baada ya gari moja kuingia ndani ya umati wa watembea miguu, katika daraja kuu jijini London.

Taarifa zimesema watu 20 waliojeruhiwa wamepelekwa katika hospitali sita tofauti jijini London.

Mwandishi wa BBC Holly Jones, aliyekuwepo katika eneo hilo wakati wa shambulio hilo amesema gari lililohusika lilikuwa linaendeshwa na mwanamume na lilikuwa linaenda kwa kasi.

"Alilipinda gari karibu nami na akagonga watu watano au sita hivi. Aliwagonga wawili mbele yangu na kisha wengine watatu waliokuwa nyuma yangu," Jones ameiambia BBC.

Chanzo:
Mwananchi
 
UK soft targets ni nyingi mno.

Faala kama huyo aliyekuwa anaendesha van ingekuwa ni US hususan kwenye southern states angekuwa keshakula shaba!

UK polisi wengi hata hawabebi silaha....sijui hata ni kwa nini.
Na hasa kama una nasaba ya kiarabu au black hawakucheleweshi.
 
wao wanaamini wafe upesi wakafaidi mahulu.72 wenye makalio ft.40 kiuno kama nyigu macho kama vikombe na ku-update dhakar isisinyae...[emoji4]


Umefufukia huku , ??? Umekuwa kama mwizi umekimbia majukwaa ya dini ukazuka hapa???

Wewe kimbilia kugeuzwa ndafu na sangara

Everybody will be salted in fire Mark 9:49
 
Nilijua tu jamaa ataitumia hii ili kufikia malengo yake, simlaumu lakini.
Trump ni mpuuzi kwa sababu kama anataka travel ban kwa nchi ambazo majority ni muslims, halafu anaicha Saudi arabia kwa kigezo gani ? kama unataka kuweka vikwazo weka kwa wote
 
Tatizo kubwa hawajichanganyi kabisa na wenyeji bado wako wao wao tu pamoja na kuwa lugha wanaimanya vizuri sana. Hivyo ni ngumu sana kubadili mtazamo wao wa jamii wanayoishi.
Watabadili vipi mtazamo wakati wanasikia watu wanawaa nchi kwao na majeshi ya magharibi , mfano last week watu 105 innocent wameuwa na majeshi ya US nchini Irak-mosul and 35 watu Syria ?
 
Hii idadi inaweza kabisa kuongezeka maana majeruhi ni 30. Thanks God UK bunduki hazipatikani kirahisi kama Marekani ingekuwa hivyo idadi ya wafu ingepanda zaidi.

Mtu wa 7 kafa tayari
 
Back
Top Bottom