London Terror Attacks: 6 people killed 20 Injured

Ni kweli kabisa saa ambazo mashambulio yalitokea huwa kuna umati mkubwa sana wa watu ikiwemo wenyeji wa Jiji na watalii kutoka nchi mbali mbali duniani.

Tena London ikiwa hali ya hewa fresh,joto tena mpira watu wote nje kwenye ma bar kucheki match na kuvinjari,aiseee
 
Si wote wanajihusisha na huu ukatili wa kutisha ila kinachonisikitisha ni ukimya wa nchi za Kiarabu kukemea haya mauaji ambayo yanazidi kushamiri.

Siku hizi mimi nawaogopa kabisa waarabu
 
Si wote wanajihusisha na huu ukatili wa kutisha ila kinachonisikitisha ni ukimya wa nchi za Kiarabu kukemea haya mauaji ambayo yanazidi kushamiri.
Seven people are feared dead after three men with 30cm hunting knives stabbed pedestrians, the Daily Mail reports.
one of the casualties is believed to be a police officer.
 
Mh! Very scary.

Donald J. Trump
@realDonaldTrump

Whatever the United States can do to help out in London and the U. K., we will be there - WE ARE WITH YOU. GOD BLESS.
 
Umejuaje ni waarabu?
Nimesema nawaogopa waarabu,matukio yote yaliyopita ya kigaidi hapa ulaya wahusika ni waarabu,mind you that hakuna nilipotaja kuwa wahusika wa leo ni waarabu pia,ila probability ni kubwa mno kuwa na wa leo nao watakuwa waarabu tu.Huhitaji kuwa rocket scientist kutambua hilo
 
Si wote wanajihusisha na huu ukatili wa kutisha ila kinachonisikitisha ni ukimya wa nchi za Kiarabu kukemea haya mauaji ambayo yanazidi kushamiri.
Sio wote ila kusema ukweli hawa jamaa wana tabia za ajabu ajabu sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah! Ngoja niangalie twitter. Mie nahisi US Supreme Court kwa jinsi ilivyo sasa hivi na haya matukio ya Manchester na London hii Travel Ban itapitishwa muda si mrefu ujao.

Anatukanwa huko Twitter. Naaona ametuma twitter nyingine kuhusu London.
 
Nimesema nawaogopa waarabu,matukio yote yaliyopita ya kigaidi hapa ulaya wahusika ni waarabu,mind you that hakuna nilipotaja kuwa wahusika wa leo ni waarabu pia,ila probability ni kubwa mno kuwa na wa leo nao watakuwa waarabu tu.Huhitaji kuwa rocket scientist kutambua hilo
Wa Africa. North Africa.
 
wanasema ni watu 'of Mediterranean descent'
 
Dah! Ngoja niangalie twitter. Mie nahisi US Supreme Court kwa jinsi ilivyo sasa hivi na haya matukio ya Manchester na London hii Travel Ban itapitishwa muda si mrefu ujao.
Tatizo wengi wanaofanya mambo haya ni wazaliwa wa nchi hiyo hiyo au walihamia walivyokuwa wadogo na ni raia wa nchi hizo.

Anyway anajua anachofanya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom