HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,322
- 103,593
Huwenda trump anataka mzigo alafu mwalimu kachoka.
Angalia hizo video zimefanyiwa editing angalia mkono wa shati kipindi anashika na mkono wa shati alipoachia
Angalia background pia
Huwenda trump anataka mzigo alafu mwalimu kachoka.
Mimi sio basha tafuta mabasha wengine wakufire mama weweHabari ndio hiyo...la sivyo jidunge ndoba usepe..[emoji4]
Huyu mwalimu wa yayo kafanywa nini na Trump?
Mtumishi wameathirika na kukariri hivyo wanaamini wanaamini kila kitu..ona hichi wanacho amini..[emoji117]Angalia hizo video zimefanyiwa editing angalia mkono wa shati kipindi anashika na mkono wa shati alipoachia
Angalia background pia
Kumbe mngese..[emoji4] [emoji106]Mimi sio basha tafuta mabasha wengine wakufire mama wewe
Nafikiri ndio hicho hao cowards wanachokitafuta, watu wapanick, waanze kulipiza visasi, vurugumai na machafuko yatokee... Lakini bitter pill ya hao ma cowards nikutokulipiza visasi... dawa ni kwa law enforcement kutafuta cell zao kwa hali na mali, kutowapa nafasi ya kupumua na kuwa-frustrate mpaka wajikute wanakunywa vidonge vyao wenyewe.Hatari sana, naona hali itakuwa mbaya Ulaya ikiwa watu wenyeji watataka kufanya revenge kwa waovu hawa.
Wewe **** nenda ukajiuze huko badoo,na facebook ***** wewe huoni haya huo ufirauni unaofanyiwa wa kupumuliwa kisogoni na wanaume wenzio na huko kubinua binua vidole ndio unathibitisha jinsi ulivyo chakula,bwabwa,mpunga watu wanakutafunaKumbe mngese..[emoji4] [emoji106]
Hapo mtu ukipata hiyo taarifa ukiwa tayari uko njiani kwenye mishe zako ni huingii underground station yoyote, hupandi tube wala overground, hupandi london buses wala huingii kweye restaurant, magahawa, pub, shoping centre wala public premises yoyote mkuu afrodenzi, unatembea tu kwa mguu tena kwa tahadhari sana unarudi nyumbani.View attachment 518852 3 attacks in these 3 locations .
...nafikiri anamaanisha waarabu interms of ethinicity... algeria, egypt, libya et al.,Wa Africa. North Africa.
Nimeshiba daku nataka hilo boga lako hapo nyuma nilitafuneWe nae umeshiba daku
Afu ndo maana ushoga hauishi kwenye imani yenu
Msimulia mvua imemnyeshea..[emoji4] Yaallah [emoji8] [emoji39]Wewe **** nenda ukajiuze huko badoo,na facebook ***** wewe huoni haya huo ufirauni unaofanyiwa wa kupumuliwa kisogoni na wanaume wenzio na huko kubinua binua vidole ndio unathibitisha jinsi ulivyo chakula,bwabwa,mpunga watu wanakutafuna
Hivyo unavyolia dudu ndio imekuingia??Sasa nafikiri utakuwa umejifunza kuwa sio kila mtu wa kumvamia na kumuongelea utakavyo uje uabikeMsimulia mvua imemnyeshea..[emoji4] Yaallah [emoji8] [emoji39]
OK!ngoja nije pm kada mwenzio.Mimi ni Ke.
Mtumishi wameathirika na kukariri hivyo wanaamini wanaamini kila kitu..ona hichi wanacho amini..[emoji117][emoji12]![]()
OK!ngoja nije pm kada mwenzio.
Wamewakaribisha wenyewe, they created that monster, they have to deal with it.Police are responding to reports that a van has hit a number of pedestrians on London Bridge in central London.
Witnesses have said that armed officers are understood to be at the scene after a white van mounted the pavement before driving into people. The Metropolitan Police say they are dealing with an incident on the bridge.
Transport for London said the bridge has been closed in both directions due to a "major police incident". Bus routes were being diverted.
BBC reporter Holly Jones, who was on the bridge at the time of the incident, said the van was driven by a man and was "probably travelling at about 50 miles an hour".
About five people were being treated for injuries after the vehicle mounted the pavement and hit them, she said.
She said the van, which was travelling from the direction of central London, headed towards the south side of the river.
Ms Jones later reported seeing a man being arrested by police. She said he was handcuffed and had his shirt off.
SOURCE: BBC
--------
>>Kwa Kiswahili
Washambuliaji watatu, ambao walikuwa wamevalia mikanda ya bandia ya miripuko , pia walipigwa risasi na polisi na wamefariki, polisi ya mjini London imesema.
![]()
Majeruhi wakipelekwa hospitali baada ya tukio la kigaidi
mjini London
"Katika wakati huu, tunaamini kwamba watu sita wameuwawa pamoja na washambuliaji watatu waliopigwa risasi na polisi," amesema kamishna msaidizi Mark Rowley , ambae pia ni mkuu wa kitengo cha kupambana na ugaidi.
Washukiwa waliwagonga wapita njia katika daraja la London kabla ya kuwashambulia watu katika baa za karibu na migahawa, Rowley alisema. Polisi wenye silaha waliwapiga risasi washambuliaji watatu katika muda wa dakika nane baada ya polisi kupokea siku ya kwanza ya kuhusiana na mashambulio hayo ya kigaidi katikati ya London usiku wa Jumamosi, amesema.
Simu ya kwanza ilipokelewa baada ya washambuliaji kuendesha gari yao na kuwagonga wapita njia katika daraja la London kabla ya kuwachoma visu watu katika soko la karibu la Borough, Rowley amesema.
![]()
Polisi wakilinda usalama katika eneo la tukio la kigaidi
mjini London
Watu walioshuhudia waliliambia gazeti la Guardian waliwaona watu wawili wakiwachoma visu watu nje ya mgahawa maarufu wa Roast katika soko la Borough. "Niliwaona watu wawili wakiwa na visu vikubwa nje ya mgahawa huo wa Roast," mpishi kutoka katika mgahawa wa karibu aliliambia gazeti hilo.
Polisi wachukua hatua ya haraka
Walikuwa wakiwachoma visu watu , tulikuwa tunapiga kelele "acha, acha" na watu walikuwa wakiwatupia viti," mpishi huyo alisema. "polisi walikuja na kuwapiga risasi watu hao moja kwa moja."
![]()
Watu ambao walipata mshituko baada ya tukio la kigaidi
mjini London
Waziri mkuu Theresa May aliliita shambulio hilo kuwa "tukio la kigaidi" na alieleza "shukrani zake nyingi" kwa polisi na huduma za dharura. Meya wa London Sadiq Khan amesema anapanga kuhudhuria mkutano mapema leo Jumapili (04.06.2017) wa kamati ya dharura ya serikali inayojulikana kama cobra, ambayo inatarajiwa kuongozwa na waziri mkuu May.
"Mpaka sasa hatufahamu maelezo zaidi, lakini hili lilikuwa shambulio la makusudi na la waoga dhidi ya wakaazi wa London ambao hawana hatia na watu wanaotembelea mji wetu wakifurahia usiku wao wa Jumamosi," Khan alisema.
Trump azungumza na May
Rais donald Trump amempigia simu waziri mkuu wa Uingereza Theresa May na kumpa rambi brambi zake kufuatia tukio la kigaidi mjini London.
![]()
Watu wakikimbia kutoka eneo la tukio mjini London
Rais Trump alizungumza na waziri mkuu May leo na alitoa rambi rambi zake kwa shambulio hilo la kinyama la kigaidi katikati ya London.Trump aliahidi msaada kwa Uingereza kutokana na mashambulio hayo mawili ya kigaidi ambapo watu sita waliuwawa, baada ya gari kuwagonga wapita njia na washambuliaji hao kuwachoma visu watu kadha.
Katika mazungumzo yao ya simu Trump aliahidi kwamba Marekani itatoa ushirikiano kamili kwa Uingereza katika uchunguzi wa tukio hilo na kuwafikisha watu wanaohusika na tukio hilo la kiuwoga mbele ya sheria.
![]()
Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau
Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau amesema kwamba wacanada , "wanasimama pamoja na Waingereza" baada ya washambuliaji kuwachoma visu holela watu na kuwagonga wapita njia kwa gari na kuuwa watu sita.
dogo walahi bilahi nimekuota [emoji8] na Mimi kwa huduma uliyonipa sitaki dhulma njoo inbobo nielekeze namna ya kukufikishia jero yako..[emoji4] tatizo umenisumbua sana na mabio na visingizio, ooh mii nanyonyesha, mala nimefunga, ooh mchezo wa kisilamu siuwezi... toka kwa mtogole mpaka langoni kariakoo ndio ukaachia zigo [emoji53] walahi ningekupa buku jero...[emoji4]Hivyo unavyolia dudu ndio imekuingia??Sasa nafikiri utakuwa umejifunza kuwa sio kila mtu wa kumvamia na kumuongelea utakavyo uje uabike