Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,049
- 60,246
Hahahahaha Maghreb countries hao.wanasema ni watu 'of Mediterranean descent'
Hahahahaha Maghreb countries hao.wanasema ni watu 'of Mediterranean descent'
Tatizo wengi wanaofanya mambo haya ni wazaliwa wa nchi hiyo hiyo au walihamia walivyokuwa wadogo na ni raia wa nchi hizo.
Anyway anajua anachofanya.
Hahahahah Waafrica ?ile ni location yao tu ?Tena hawapendi kabisa uwaite hivyo wale ni WAberber ingawa wanapenda waitwe waarabu,kama unavyowaona waromania ulaya ,na hao waberber ndo wanavyotengwa na waarabu wenzao wa Oman,Qatar,Saudi arabia nk
On papers yes,but deepside personality never.Umezaliwa libya wewe ni mlibya hata kama wazazi wako wametoka Oman. Hata kama hawataki bado ni wa Africa tu.
Umezaliwa England au umehamia na kupata uraia wa UK Wewe ni mtu wa huko huko.
Uraia wa kwenye makaratasi tu ila mioyoni mwao wanabeba DNA za origin yao.Tatizo wengi wanaofanya mambo haya ni wazaliwa wa nchi hiyo hiyo au walihamia walivyokuwa wadogo na ni raia wa nchi hizo.
Anyway anajua anachofanya.
Uraia wa kwenye makaratasi tu ila mioyoni mwao wanabeba DNA za origin yao.
Obviously conservative wanashinda,maana wapo against immigration na bre exit itakuwa tough,hawataki cha common market wala nini as far as waliambiwa kama wanataka common market basi waruhusu na free movement ya watu kitu ambacho Labor part wanaweza kubali.Theresa May yeye kishakataa kabisa free movement ya watu yupo tayari apoteze common market lakini siyo kuruhusu free movement ya watu wa EUNa uchaguzi wa UK ni June 8th sijui chama kipi kitanufaika na mashambulizi haya.
Kweli kabisa baadhi ya matukio wahusika ni wazaliwa lakini lile bomu la Manchester muhusika ni mzaliwa wa Libya.
Siku moja tembelea Molenbeek Ubelgiji,hapo almost wengi wamezaliwa Belgium ila ukifika huo mji utafikiri upo Rabat Morocco,utamaduni kila kitu utafikiri upo Morroco so kuzaliwa sehemu siyo issue kama hautakuwa assimilated kufuata walau utamaduni wa sehemu uliyozaliwa.Na Molenbeek ndo inatoa magaidi kibao wamekwenda syria kuunga mkono jeshi la ISIS.British-born Salman Abedi killed 22 people when he blew himself up at an Ariana Grande concert at the Manchester Arena
Alizaliwa huko huko U.K. Alifanya training libya.
Siku moja tembelea Molenbeek Ubelgiji,hapo almost wengi wamezaliwa Belgium ila ukifika huo mji utafikiri upo Rabat Morocco,utamaduni kila kitu utafikiri upo Morroco so kuzaliwa sehemu siyo issue kama hautakuwa assimilated kufuata walau utamaduni wa sehemu uliyozaliwa.Na Molenbeek ndo inatoa magaidi kibao wamekwenda syria kuunga mkono jeshi la ISIS.
Raia wake sawa,wakati wanatengwa hata makazi wanayokaa huwezi kuta mbelgiji halisi anaishi hiyo sehemu,Molenbeek ni waarabu asilimia kubwa na waafrica wa sub saharan sehemu inayobaki,asilimia kubwa hawana kazi,government dont care abt them,na wengi wanasema ndo maana wanarevenge.Ndio maana wako huru kufanya lolote maana wanezaliwa hapo. Kufuata au kutokufuata tamaduni ya nchi waliozaliwa hiyo ni juu yao. Tayari wao ni raia wa hapo na serikali ya hapo inawa treat raia wake wote sawa.
Wanafanya haya mambo sio wakuja tu wengi ni wa zawa.