London metal exchange


M

Metallic

Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
55
Likes
4
Points
15
M

Metallic

Member
Joined Aug 14, 2009
55 4 15
Habari zenu wakuu,
me nimekua nikiisikia hii kitu inaitwa London metal exchange tangu nasoma lakini sikupata baadhi ya majibu nilokua najiuliza mojawapo ni jinsi gani wanapanga bei na uhusiano wao ukoje na LSE na LONDON BULLION MARKET?
wanauchumi hebu nisaidieni kuelewa haya mambo.
 

Forum statistics

Threads 1,215,094
Members 463,036
Posts 28,535,511