muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Nina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London.
Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi:
CHARITY GIRLS IN ACID HORROR halafu kuna picha 2 za hawa teenage girls,Kirstie Trup & Katie Gee.
Hii feature article inaendelea hadi page 5 kuna picha zao tena ,kwa ufupi inaelezea walikuwa Zanzibar kuvolunteer kwenye art charity .Katie anatarajiwa kujiunga na Nottingham University kusoma sociology next month na mwingine Bristol Uni kusoma History.
Page 5 also kuna sub-heading "Island paradise with a dark underbelly"
Inaelezea uzuri wa Zanzibar,hata developers kujaribu kuiturn into another Seychelles.Lakini sio hivyo tena ,inasimulia
allegations za uchakachuazi wa matokeo ya uchaguzi na CUF kutaka uhuru toka Tanzania.
Inazungumzia the rise of Islamic Party Uamsho(The Awakening).Pamoja na boom ya utalii,bado kuna matatizo ya ajira,a heroin epidemic na umaskini.
Hii ni PR mbaya sana .Ziara za Obama,Bush,Clinton au Shinawatra nchini haziwezi kupewa heading kama hii.
Dkt Shein afanye maamuzi mazito kama alivofanya Jk. Timua wahamiaji "haramu" wote. Watanganyika must go.
Nchi ya Tindikali,unga,ufisadi.ung'oaji watu meno na kucha,mauaji,wizi wa mali ya umma,kuua tembo,udini nk
Waulizwe hao WAISLAMU wa Zanzibar hao watoto wenye miaka 18 wamewakosea nini hadi kuwapa adhabu isiyowafaa kiasi hicho?
Walikuwa kwenye Mfungo wa Ramadhani,ndiyo mawaidha yaliyokuwa yakitolewa hayo kuwafanyizia watu wasio na kosa lolote bila sababu za msingi?
TUNAOMBA MAJIBU TOKA ZANZIBAR
Usijivue akili ndugu wewe ni mmojawapo mnaomuunga mkono Nape juu ya Serikali mbili na lengo ni kuogopa kuvunjika kwa muungano, leo hii unakuja na maneno ya kijinga, Tukio la Zanzibar ni muendelezo wa matukio yanayotokea nchi nzima tumeshuhudia Arusha Mashehk 2 wakimwagiwa Tindikali, Milipuko ya mabomu tena mengine kwenye mikono ya Polisi wakisema ni bahati mbaya.Zanzibar ni nchi ya mambo yake, yanayotokea huko hayatuhusu.
watanganyika must WHAT ??? Mkuu tema mate chini . Japo mimi sitaenda huko , lakini kuwatimua watanganyika wenzangu wanaofanya shughuli zao si sawa .
sasa hili bomu la ajira tutalitatua vipi baada ya Muungano na watu wene 2mNina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London.
Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi:
CHARITY GIRLS IN ACID HORROR halafu kuna picha 2 za hawa teenage girls,Kirstie Trup & Katie Gee.
Hii feature article inaendelea hadi page 5 kuna picha zao tena ,kwa ufupi inaelezea walikuwa Zanzibar kuvolunteer kwenye art charity .Katie anatarajiwa kujiunga na Nottingham University kusoma sociology next month na mwingine Bristol Uni kusoma History.
Page 5 also kuna sub-heading "Island paradise with a dark underbelly"
Inaelezea uzuri wa Zanzibar,hata developers kujaribu kuiturn into another Seychelles.Lakini sio hivyo tena ,inasimulia
allegations za uchakachuazi wa matokeo ya uchaguzi na CUF kutaka uhuru toka Tanzania.
Inazungumzia the rise of Islamic Party Uamsho(The Awakening).Pamoja na boom ya utalii,bado kuna matatizo ya ajira,a heroin epidemic na umaskini.
Hii ni PR mbaya sana .Ziara za Obama,Bush,Clinton au Shinawatra nchini haziwezi kupewa heading kama hii.
Zanzibar ni nchi ya mambo yake, yanayotokea huko hayatuhusu.
Nchi ya Tindikali,unga,ufisadi.ung'oaji watu meno na kucha,mauaji,wizi wa mali ya umma,kuua tembo,udini nk
Waulizwe hao WAISLAMU wa Zanzibar hao watoto wenye miaka 18 wamewakosea nini hadi kuwapa adhabu isiyowafaa kiasi hicho?
Walikuwa kwenye Mfungo wa Ramadhani,ndiyo mawaidha yaliyokuwa yakitolewa hayo kuwafanyizia watu wasio na kosa lolote bila sababu za msingi?
TUNAOMBA MAJIBU TOKA ZANZIBAR
haha kwikwi,utamkomoa nani sasa na hicho kiapo chako.
zanzibar ni njema na atakaye na aje_kar
hivi mzungu hata akitembea bila pichu utamtamani kweli?ngozi zao hazina hata mvuto ingekuwa mbantu afunge sebene alafu avae trouser au hiyo mini hapo saumu lazima itenguke.....
Mkuu, sidhani kama utalii unapigwa vita zenjNilikwenda Zanzibar mwakajuzi, nilitembelea mji mkongwe na beach zote, na pia kuzungumza na baadhi ya wakazi wa Zanzibar. Kwa ujumla Zanzibar kuna umaskini uliokithiri lakini usiochukiwa na wakazi wake. Pato kubwa ni utalii ambao wanaupiga vita. Zanzibar ina watu wengi wanafiki, wanaojifanya wanafuata sana dini na kuwa tayari kuwadhuru wengine kwa kisingizio cha dini lakini ukifika Zanzibar, kama unataka madawa ya kulevya utapata, ukitaka Malaya utawapata, n.k. Nilikuwa na Mzanzibari aliyekuwa akinitembeza, na alisema kuwa hiyo ndiyo kazi pekee aifanyayo. Nilipomaliza ziara yangu aliniambia kuwa malipo aliyokuwa anataka nimlipe ni madogo kutokana na ukweli kuwa kazi yake ilikuwa ni rahisi maana sikumwomba anitafutie madawa ya kulevya au wanawake. Alieleza kuwa baadhi ya wazungu huwaomba wawatafutie, naye kwaajili ya kuwaridhisha wateja wake hulazimika kuwatafutia. Alieleza kuwa wanawake hupatikana ila ni lazima iwe kwa kificho sana. Maana yake ni nini? Tafsiri ni kuwa Wazanzibari wanajifanya watakatifu mbele ya watu wengine lakini ndani yao kuna uovu wa kila namna.