full name
Member
- Jun 21, 2015
- 46
- 52
Hizo habari za "kuunga mkono wamasai wauwawe na mwarabu" ndio uzandiki wenyewe. Iko wazi kwamba Namba ya watu na mifugo imeongezeka so inaathiri ecologia ya eneo husika! Mbaya zaidi wameanza kufuga na kondoo ambao wanakula mpaka mizizi, ambao huko Maasai mara mnakatazaaa kabisa kuingiza kondoo.Wewe Mtanzania unaunga mkono wamasai wauawe ili mwarabu aliyekuwa anawinda na kuuwa watu weusi na wengine kuwauza utumwani, aje afurahie uwindaji wa anasa?