Nawewe unajiendea tu lakini unaonekana tu usivyoweza kugundua vitu! Hahahaaaa sasa unafikiri wewe kwanini Yesu alienda kumponya tena? Hii ni wazi kwamba Yesu aliona kuwa kuchelewa kwake ndiko kulikosababisha kifo cha Lazaro ndio maana aliumia akatoa na machozi kwani aliona kweli kuchelewa kwake kumesababisha hayo! Sasa akaona afute makosa kwa kumponya na ikawa hivyo! Sasa waliochelewa kupata dawa Loliondo wakafa wameponywa au wamezikwa?? Angalia impact baada ya tukio ndio ujaji!alikufa akisubiri au hakufa akisubiri? wewe umesema kuwa watu wanakufa wakisubiri tiba ya babu. Kana kwamba sehemu nyingine hawafi wakisubiri tiba. Babu yeye kapewa idara tofauti ya kuangalia. anyway...it seems u wont understand!
sasa unadhani kwa nn wanawatorosha wagonjwa wao? wana imani.hata yule mgonjwa aliepelekwa kwa yesu wakampitisha darini ili amponye ni kwa sababu ya imani yao.Utawahukumu kwa Imani yao? labda ulaumu serikali kwa kuruhusu magari mengi na watu wengi kwa wakati mmoja bila kuzingatia miundo mbinu na uwezo wa babu kuhudumia.Hao marehemu hata kama wasingekunywa dawa kwa babu wengekufa tu na kamwe babu hamwambii mtu aistumie ARV bali kawaambia wapime baada ya siku 7....Naona mada yako haina akili nadhani pia we ni mmoja wa wanaotegema mkate kwa kudanganya waumini kuwaponya ili mfaidi zaka na sadaka huku mkiwahadaa kwa maombi ya uwongo.
Hujanisoma badooooo! Sijasema dawa ya Babu haifanyi kazi! Zinagalie tena zile pointi tano hapo juu urudi upya!
Labda unisaidie kuelewa.1. Hivi shetani hawezi kuja akijifananisha kama Mwana wa Nuru?
2. Hivi kweli kumbe watu wanaweza kufa wakisubiria tiba ya Mungu?
3. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzidiwa kuhudumia watu aliowaumba?
4. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzuia watu wasiongezeke hadi amalize kuwahudumia waliotangulia?
5. Ahaaaa kumbe Loliondo unaweza kuwa mtego wa shetani kumaliza watu wetu?
alikufa akisubiri au hakufa akisubiri? wewe umesema kuwa watu wanakufa wakisubiri tiba ya babu. Kana kwamba sehemu nyingine hawafi wakisubiri tiba. Babu yeye kapewa idara tofauti ya kuangalia. anyway...it seems u wont understand!
Kama huna imani huponi, na ukifa kabla ya kupewa dawa sio kosa la babu.
RIP Marehemu wote.
Hoja namba tano
Tulishasema jaman hapo mwanzoni kuwa Loliondo patakuwa makaburini, ooh! watu wakaanza kututukana mara nyie mmetumwa ooh mara hili! Sasa mapema kabisa ukweli umekuwa wazi! Ukweli la suala la Loliondo ni la kiimani, na ni gumu kulitafsiri lakini inakuwaje yawe makaburi ya watu?? roho ya mauti hatari sana! Mungu hawezi kuwaponya hao watu kwa neno mara moja mpaka wafe wanasubiri kikombe?? Naogopa kusema sio kazi ya Mungu ila jiulize. Yeremia 5:29-31!!
Tafakuru yangu:-
1. Hivi shetani hawezi kuja akijifananisha kama Mwana wa Nuru?
2. Hivi kweli kumbe watu wanaweza kufa wakisubiria tiba ya Mungu?
3. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzidiwa kuhudumia watu aliowaumba?
4. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzuia watu wasiongezeke hadi amalize kuwahudumia waliotangulia?
5. Ahaaaa kumbe Loliondo unaweza kuwa mtego wa shetani kumaliza watu wetu?
Nimetosha, lakini sihukumu sijui kama Babu katumwa na mungu au la? ninachoweza kusema tafakari mambo hayo matano!
Nawasilisha
View attachment 25816

Too late. Kwani umewmuliza akasema 'hapana''? Tafakari kwanza mwenyewe.Tulishasema jaman hapo mwanzoni kuwa Loliondo patakuwa makaburini, ooh! watu wakaanza kututukana mara nyie mmetumwa ooh mara hili! Sasa mapema kabisa ukweli umekuwa wazi! Ukweli la suala la Loliondo ni la kiimani, na ni gumu kulitafsiri lakini inakuwaje yawe makaburi ya watu?? roho ya mauti hatari sana! Mungu hawezi kuwaponya hao watu kwa neno mara moja mpaka wafe wanasubiri kikombe?? Naogopa kusema sio kazi ya Mungu ila jiulize. Yeremia 5:29-31!!
Tafakuru yangu:-
1. Hivi shetani hawezi kuja akijifananisha kama Mwana wa Nuru?
2. Hivi kweli kumbe watu wanaweza kufa wakisubiria tiba ya Mungu?
3. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzidiwa kuhudumia watu aliowaumba?
4. Hivi kumbe Mungu anaweza kuzuia watu wasiongezeke hadi amalize kuwahudumia waliotangulia?
5. Ahaaaa kumbe Loliondo unaweza kuwa mtego wa shetani kumaliza watu wetu?
Nimetosha, lakini sihukumu sijui kama Babu katumwa na mungu au la? ninachoweza kusema tafakari mambo hayo matano!
Nawasilisha
View attachment 25816
kufa ni laz4ma na ndo maana hata wazungu hufa acha zako. unataka kuonzesha watu kuwa babu anaua watu? kwa nini usilaumu wanaotoa wagonjwa wao hospital wakiwa wanahitaji care ya karibu wasifanye hivyo- babu keshasema watu wasitoe wagonjwa hospital na wote mnafahamu.
May be...lakini serikali imeshatangaza kuwa dawa hiyo 'haina' madhara! So by implication maana yake ni kuwa waliokufa baada ya 'kunywa dawa ya babu' wamekufa kwa sababu nyingine na sio madhara yatokanayo na dawa.
Labda ndio huyo shetani unamsema sasa kaamua 'kuwamaliza'. BTW, mimi nilidhani ni mpango wa Mungu kuwa kila nafsi ni lazima ionje mauti!