Loliondo hii nayo kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loliondo hii nayo kali

Discussion in 'JF Doctor' started by charndams, Jun 30, 2011.

 1. c

  charndams JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wanajamvi, naomba ushauri wenu. natamani sana kwenda kupata kikombe kwa babu lakini sina uhakika wa kile anachokifanya. sina ugonjwa wowote mwilini ila nasikia ugonjwa si lazima ninaweza kwenda kupata kinga. nimesoma kwenye vyombo vya habari jinsi watu wengi tena wenye hadhi wanavyokimbilia loliondo nami najiuliza, je is there anything special in this concoction? je ni kweli inafanya kazi? na jee kuna shuhuda zozote zimetolewa kuhusu matibabu ya babu na ni ngapi? mimi nasikia tu mambo ya imani lakini najiuliza imani na dawa ni vitu viwili tofauti. imani ni spiritual na dawa ni physical treatment, mbona nachanganyika? nikidhani ukipata malaria unapewa dawa mseto hospitali wala hakuna daktari atakuambia kunywa kwa imani.
  natangulisha shukrani zangu
   
 2. m

  makokomakoko Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu yangu sina ushauri wa moja kwa moja,ila nitakusimulia machache.
  Mimi ni tabibu ktk kitengo cha UKIMWI.Baadhi ya wagonjwa wangu wamekwenda kwa Babu.Kwa imani kubwa waliyokuwa nayo kwa babu huyu,wengine waliamua kuacha dawa za ARVs,hawa wamefariki watano kwenye clinic yangu,wengine wote HIV status zao ni POSITIVE.Ndugu zangu wenye kisukari na pressure wamekwenda kwa babu lakini hadi leo hali zao bado ziko vilevile.
  Ninayokueleza hapa ni ukweli mtupu na ukumbuke mimi nina kiapo.FANYA MAAMUZI.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Acha kupotosha umma!...Hakuna ukweli katika usemayo.
  Njaa yako ya vipande 30 vya fedha itakudhalilisha!
  Nimegundua kuwa una hiana na babu, na hofu yako ni kwamba utapungukiwa customers!
  Tafuta njia za kawaida za kuvutia wateja, boresha vyoo hapo kwenye clinic yako, na uache ku-hike bei za dawa!
  Kwa babu watu wanapona!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nadhani wewe ndio mpotoshaji mkubwa!
   
 5. M

  Mwera JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna hata mtu 1 aliekwenda kwa babu akapona,niutapeli tu unaoendelea kufanyika.ila werevu walishtuka tokea mwanzo kua ni utapeli tu.
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watu ninaowafahamuu wamepona wanafika watano including baba yangu sukari kushney!
  Wapo wanaokufa hasa kama una historia ya ushrikina au kuuwa watu ukinywa kikombe lazima uvute nina ushaidi wa watu watatu
   
 7. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiende mkuu, walioenda wanajuta sasa, wengi wamezidiwa au kupoteza maisha.
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  hapa utapata ushauri wa kwenda na kutokwenda...ukitaka kupata uhakika nenda na uje utupe testimony hapa jukwaani.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kama unahisi unazo pesa za kukufikisha na kujikimu uko Loliondo, nakushauri bora utafute kituo cha kulelea mayatima uwapatie hizo pesa, kuliko kwenda kupoteza muda na wakati wako bure, ukaja kujuta maisha yako yote.
   
Loading...