Loh!

Loh!

...alichokosea ni kuvaa nguo ya mtoto ndo maana mnamsuta,akipiga suti atapendeza sana..
 
390940_284533931597261_1516250556_n.jpg


Kuna Signature ya huyu member inaweza kukaa hapa

Siyo Kila Mchina anauza Dawa za Makalio,wengine wajenzi wa barabara.....WATCH OUT

Smile habari gani bhana!

Hapo juu nina hofu Mchina anahusika!
 
Last edited by a moderator:
mwanamke ngongiko. Ila mi sitaki kama huyu namba 8 wangu ananikosha sana
 
heheheeee Sikonge umenchekesha na huyo shehe wako anapenda walee waliojazi ahahahahaaaaa mkua mnene kama wa kibua. Haya bana furahieni neema za maulana, ila hiyo picha hapo juu ni photoshop
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, sawa bana. Wee nipe tu anwani nikamtafute, ila ukitaka pia kuja SIKONGE, karibu sana.

Ni kimji kizuri, umeme upo, ila tu hatuna barabara ya Lami. Ni mji salama na utafurahia mapumziko yako.
Sikonge mie wala sina wivu...

hata ukitaka nimsaidie kumleta unyamwezin ntakusaidia tu
 
Back
Top Bottom