Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

Hapo kuna mambo matatu nikushauri.Kwanza vyema ukutafuta elimu ya ndoa ili ujue kusudio lake ni nini.Pili shukuru Muumbaji kakupa mwanaume mwenye nguvu madhubuti.Usiikufuru neema hii.Tatu kama wewe unaona humudu mikiki mikiki yake,mwambie aongeze mke mwingine ili 'akupunguzie mzigo'.
mkuu
Wewe ni mwanachama halisiwa JF na unastahili kuwepo muda wote, you talk sense and can Advice.asante sana.
Muhusika was nyuzi hii ana majibu sitahiki kwa tatizo lake.
 
Mkipigwa pumbu mnalia, msipopigwa lawama..

Sasa mnataka nini hatuwaelewi
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu.


Ukikubali kuolewa ndio madhara yake hayo.
Watu wengine msiwe mnachangia nyuzi kama mnakaanga vitunguu jikoni.
Asikubali kuolewa afanye nn basi au awe na nafuu gani ya kutokuingiliwa?
Mungu maagano take na mwanadam afikiapo muda awe na MTU wake kwa ajili ya zinaa na wazae wewe unaleta yako.
Acha upotoshaji au kama hujui Nyamaza!
 
Mpe tu mama hakuna namna hapo
Mkuu in kweli tu,
Alifanyiwa Kitchen party akaambiwa uende na amani sasa vipi atupe jezi?
Jamaa nae si kuna kitu alitoa? Mbona hill fungi asimpe mama take akajenga msonge Kule kwao?
Aache ujinga!
 
Ni ushauri tuu nimetoa
Ushauri sawa mkuu lakini nikuambie ukweli kachumbari ya ndoa ni Sex unless ndo yenu INA migogoro au mmechoka sababu Fulani Fulani lakini ndio migogoro yenyewe, kama mko fresh MNA amani kamuwezi kukaa bila kuombana na mnakulana kweli kweli! Take my word hats wanandoa halisi watanisupport
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom