Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Hapana kwa muonekano wake anataka muamini ye ni meKabisa! Huyo atakuwa mwanamke mwenzenu, na hiyo comment itakuwa aliandika wakati akiwa na stress kali za maisha mpaka akasahau jinsia yake.

AsanteeeeHaya sasaView attachment 718141
Mwanamke anakwambia ooo!!!! Mi nimechoka kwa week tuwe tunafanya Mara moja,pumbavu!!!!Ukitaka kufa kwa presha oa mwanamke mvivu kitandani.
Wanawake wanafikiri wanaume wanaoa kupata washauri kumbe tofauti, kama lengo ni washauri mbona mtaani wapo kibao tu. Hakuna kitu mwanaume anatafuta kwa mwanamke zaid ya mapenzi na haitabadilika mpaka dunia inaisha.
Kama mwanaume ananyimwa halafu yupo kimya basi huyo ni mgonjwa au anaelekea kuwa shoga, ila kwa rijal hiyo haiwezekani lazima maji yatafute njia nyingine kupita.
Tip-top comment of the thread 🏆Ukitaka kufa kwa presha oa mwanamke mvivu kitandani.
Wanawake wanafikiri wanaume wanaoa kupata washauri kumbe tofauti, kama lengo ni washauri mbona mtaani wapo kibao tu. Hakuna kitu mwanaume anatafuta kwa mwanamke zaid ya mapenzi na haitabadilika mpaka dunia inaisha.
Kama mwanaume ananyimwa halafu yupo kimya basi huyo ni mgonjwa au anaelekea kuwa shoga, ila kwa rijal hiyo haiwezekani lazima maji yatafute njia nyingine kupita.
FactUkitaka kufa kwa presha oa mwanamke mvivu kitandani.
Wanawake wanafikiri wanaume wanaoa kupata washauri kumbe tofauti, kama lengo ni washauri mbona mtaani wapo kibao tu. Hakuna kitu mwanaume anatafuta kwa mwanamke zaid ya mapenzi na haitabadilika mpaka dunia inaisha.
Kama mwanaume ananyimwa halafu yupo kimya basi huyo ni mgonjwa au anaelekea kuwa shoga, ila kwa rijal hiyo haiwezekani lazima maji yatafute njia nyingine kupita.
Upo naye kwa lipi kwani?Hi wanajukwaa la mapenzi!
Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.
Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.
Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.
Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.
mna kauli mbiu yenu kwamba hamkufuata msosi
sajili beki tatu
Wanawake bhana. Wewe ndio mke wake, unataka aende wapi? Alafu akipunguza spidi lazima utakuja na uzi hapa kwa nini kapunguza. Utasema anachepuka au hakuoni na mvuto tena.Hi wanajukwaa la mapenzi!
Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.
Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.
Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.
Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.
kumbe wakishajitunzaunapata picha gan? ?
mm nahis jamaa alijitunza sana kwny ujana wake,we unabahat:ila mwambie au Mpe vikwazo Mara unaumwa Mara nn nk