Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,677
MmmhhhhNipe namba yake niongee nae....haipiti wiki atapunguza
MmmhhhhNipe namba yake niongee nae....haipiti wiki atapunguza
Nakuona unavyotia pilipili[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bora, umsaidie kazi huyu mwenzetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenzie wanalia kuwa hawaridhishwi yeye analamika kuwa anaovadoziwa lolNakuona unavyotia pilipili
Tuko tofauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenzie wanalia kuwa hawaridhishwi yeye analamika kuwa anaovadoziwa lol
Nn thaathaaa.....mi nataka nimshauri shem apunguze dozi tu baaaasiMmmhhhh
Ahaaaa.Nn thaathaaa.....mi nataka nimshauri shem apunguze dozi tu baaaasi
Haya bwana naona unafaidi raha ya ndoa,sasa kipindi cha uzazi hapo piga ua lazima uchepukeMbona kama unanisema vile!
ila no, wangu anafurahia aisee.
Mi hata kama Niko mishe zikinipanda tu,naanza kumchombeza Kwenye simu, nachukua usafiri faster,Kuunguza mboga kawaida.
Napiga maji,narudi tena mzigoni MWEPESIIIII na akili iko FRESH!
hii ni moja ya faida ya kujiajiri.
badae baadae huku naumia,NANI ANATAKA!
Mumewe zimemjaa Apunguze,akapunguzie wapi na yeye ndie mkewe!Mkae muyazungumze..too much wakat mwngne inakera..mwambie tu apunguze
Inawezekana anaona sex is everything u can offer jitathmin
Ulikataa shule nini? Inaonyesha wewe ni mmama wa nyumbani, huna shughuli nyingine zaidi ya kutunza familia na kugongwa.Hi wanajukwaa la mapenzi!
Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.
Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.
Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.
Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.