ndoa zenu za memkwa mie akhuuu! Sitaki hata kuwasikia.Umeona eeh, mwambie aje kwangu ale mema ya nchi!! PAW Kutwa PM imejaa makopa.
Halafu taarif nilizonazo ni kwamba atahamishiwa Jukwaa la chini kabisa, hapo ndio mwisho wa maneno.
hahhahahhaha umenigeuzia kibao sio!
bora hukuchungulia ndani ukaona nilikuwa na nani kule nyuma mweh!kingesanukaaaaje!
Kamati zaizi zinaeleweka kabisaaaaa!
Ya vinywaji anapanga baba watoto Kaizer, Ya mapango unapanga wewe wifi sweetlady, ya music wanapanga Preta na Apollo, Mapambo atapanga Madame B na Ciello, Burudani atapanga Zinduna na Nicas Mtei, Usafiri namuacha Mtambuzi ashirikiane na Judgement katika kupanga... Alafu wa cake naona tu tumuachie FirstLady1
uo mkwavi, lol. Muambie kwetu hatupiganii mabwana wala mali, labda shamba la kulima.
Afu binti mamboo! Refar agenda yetu ya jana sawa?
Sasa kwenye mnuso huu hakikisha unantafuta! Tena kabla hujalewa, maanake ukishalewaga mimacho inavyokuleaga itanipa mtihani ! Risala ya msibani nikaisoma harusini.

mi ntakuwa mgeni mwalikwa sio?ngoja nitafute mparo!Kamati zaizi zinaeleweka kabisaaaaa! Hara hara Mute asiwepo kwenye kamati, aje tu kama mgeni.
Ya vinywaji anapanga baba watoto Kaizer, Ya mapango unapanga wewe wifi sweetlady, ya music wanapanga Preta na Apollo, Mapambo atapanga Madame B na Ciello, Burudani atapanga Zinduna na Nicas Mtei, Usafiri namuacha Mtambuzi ashirikiane na Judgement na platozoom katika kupanga... Alafu wa cake naona tu tumuachie FirstLady1!
wifi asante, ila ya keki plz nimeshashughulika. Naomba umpe kazi nyingine FirstLady1
Kamati zaizi zinaeleweka kabisaaaaa! Hara hara Mute asiwepo kwenye kamati, aje tu kama mgeni.
Ya vinywaji anapanga baba watoto Kaizer, Ya mapango unapanga wewe wifi sweetlady, ya music wanapanga Preta na Apollo, Mapambo atapanga Madame B na Ciello, Burudani atapanga Zinduna na Nicas Mtei, Usafiri namuacha Mtambuzi ashirikiane na Judgement na platozoom katika kupanga... Alafu wa cake naona tu tumuachie FirstLady1!
mi ntakuwa mgeni mwalikwa sio?ngoja nitafute mparo!
Kamati zaizi zinaeleweka kabisaaaaa! Hara hara Mute asiwepo kwenye kamati, aje tu kama mgeni.
Ya vinywaji anapanga baba watoto Kaizer, Ya mapango unapanga wewe wifi sweetlady, ya music wanapanga Preta na Apollo, Mapambo atapanga Madame B na Ciello, Burudani atapanga Zinduna na Nicas Mtei, Usafiri namuacha Mtambuzi ashirikiane na Judgement na platozoom katika kupanga... Alafu wa cake naona tu tumuachie FirstLady1!
Mtambuzi, Judgment njooni tujibu hizi tuhuma za kizushi!kuuumbe af hamkuniambia!mkabaki tu oh we home atakupeleka Mtambuzi mi nikajua kwa kuwa ni dereva mzoefu!kumbe hawa ndo walikula hela ya usafiri!
LOL!