Logo Creator for Free

Logo Creator for Free

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Habari wana JF,

Mimi ni kijana mwezenu amabye nimechoka kusubiri ajira,nimeamua kufungua Company yangu,Ndugu zangu najua kila kitu ni pesa,Nimekwama ndio maana nakuja kwenu wangwana mnipe Link ambayo naweza pata free Logos na nikaitumia kwenye Company yangu,Natanguliza shukrani zangu.


Asanteni sanaa,
 
ungeandika details zako pengine mtu anaweza akaja kukusaidia. andika jina la kampuni na maneno unayotaka yawepo kama unataka rangi fulani zitumike na muonekano unaotaka
 
Habari wana JF,

Mimi ni kijana mwezenu amabye nimechoka kusubiri ajira,nimeamua kufungua Company yangu,Ndugu zangu najua kila kitu ni pesa,Nimekwama ndio maana nakuja kwenu wangwana mnipe Link ambayo naweza pata free Logos na nikaitumia kwenye Company yangu,Natanguliza shukrani zangu.


Asanteni sanaa,

Nitakusaidia Bureeeee. Lakini kuna masharti yakuzingatia.

Tuma/pm jina la kampuni na contacts zako.
 
Back
Top Bottom