Logo bomba ya leo

Logo bomba ya leo

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,622
Reaction score
1,194
AFRICAS ORNAMENT LOGO.png
Proudly Tanzanian.
 
Karibu sana Natengeneza Logo kwa Tsh. 90,000/-. Unapata logo pamoja na offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Template 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template. Advance payment ni 30,000/-
 
We jamaa ni mkali na ndo mana leo nimeamkia jamii forums kukusaka, sasa kuna kazi ya logo hapa kwaajili ya biashara yangu, tafadhali tuwasiliane as soon as possible. Naku-PM contacts zangu.
Oh! Asante Mkuu. Kwa sasa niko New Delhi but we can still do business. Nitakucheck
 
Kwa bahati mbaya kazi hii ya logo haikufanikiwa. Ndugu yangu aliyenipa kazi hakujaaliwa ktk masuala yake. Namuomba Mwenyezimungu amjaalie mafanikio yeye na sisi sote pia in Shaa Allah
 
Kwa bahati mbaya kazi hii ya logo haikufanikiwa. Ndugu yangu aliyenipa kazi hakujaaliwa ktk masuala yake. Namuomba Mwenyezimungu amjaalie mafanikio yeye na sisi sote pia in Shaa Allah
Duuh Umeanza zamani sana
 
Duuh Umeanza zamani sana
Salaams. Ni kweli Boss. Tumshukuru Mola Muumba kwa kutujaalia afya na umri mrefu. Mzimaa lakini? Umeona hili jambo langu hapa:
 
Salaams. Ni kweli Boss. Tumshukuru Mola Muumba kwa kutujaalia afya na umri mrefu. Mzimaa lakini? Umeona hili jambo langu hapa:
Nimeliona ndio maana nikaingia chimbo kutazama profile yako. Kabla sijakupa Marks
 
Habari. Hizi post ni maalumu kwa kwa lengo la inspiration kwa wapenzi wa designing na wabunifu wa tembo.
 
Back
Top Bottom