Sh ngapi kwa siku mbili? Njoo pm basi!!Njoo kwangu Mimi ni nje ya mji na utapata hivyo ulivyovitaja lakini 50000 haitoshi ongeza
Nenda RENA LODGE & HOSTEL | www.renahostel.com Mawasiliano yao 0787140432 ipo Moravian area,just 350mts kutoka Namanga/Nairobi road.Nahitaji kujua ni lodge gani Arusha amabayo naweza kukaa kwa utulivu hasa.
1. isiwe katikati ya mji
2. iwe na huduma ya chakula na vinywaji
3. iwe na privacy
4. bei isizidi 50,000 kwa siku
Nikipata contact nitafurahi zaidi.
Asanteni.
ThanksNenda "Pepee" iko njia ya kwenda Mahakama kuu
matejoo!Shauri moyoo tejooo
thanksTellamande ipo sakina maziwa
asante mkuuNenda RENA LODGE & HOSTEL | www.renahostel.com Mawasiliano yao 0787140432 ipo Moravian area,just 350mts kutoka Namanga/Nairobi road.
asante sanaLush garden sakina kwa idi, pametulia sana.,
Kibanda maziwaTellamande ipo sakina maziwa
hukufanya kitu iliziba au??acha fixkuna lodge nililala na mchepuko wangu Usa JAPO HATUKUFANYA KITU
ILIKUWA NZURI SIJUI JINA LAKE CHUMBA KINA
VITANDA VIWILI HEWA NZURIII NGOJA NIMUULIZE SIJUI KAMA ATANIJIBU
NAJUA NI NGUMU KUAMINI ILA NDO HIVOhukufanya kitu iliziba au??acha fix