Logde gani yenye mandhari tulivu Arusha?

kabasele

Member
Jul 26, 2012
80
15
Nahitaji kujua ni lodge gani Arusha amabayo naweza kukaa kwa utulivu hasa.
1. isiwe katikati ya mji
2. iwe na huduma ya chakula na vinywaji
3. iwe na privacy
4. bei isizidi 50,000 kwa siku
Nikipata contact nitafurahi zaidi.
Asanteni.
 
Nenda Sakina motel 2000 imetulia sana na imekaa kama cottage hupatikana hata huduma za vyumbani.
 
Olmotonyi ya Ngaramtoni... Pia pale maeneo ya stand ya zamani iko moja ina services nzuri ila jina limenitoka
 
Nahitaji kujua ni lodge gani Arusha amabayo naweza kukaa kwa utulivu hasa.
1. isiwe katikati ya mji
2. iwe na huduma ya chakula na vinywaji
3. iwe na privacy
4. bei isizidi 50,000 kwa siku
Nikipata contact nitafurahi zaidi.
Asanteni.
Nenda RENA LODGE & HOSTEL | www.renahostel.com Mawasiliano yao 0787140432 ipo Moravian area,just 350mts kutoka Namanga/Nairobi road.
 
Ukipata pa kulala nenda pale Georges tavern uzungun utaenjoy sana ni restaurant inayokimbiza sana a town Kwa Sasa bei za vyakula n poa sana ila quality sana
 
kuna lodge nililala na mchepuko wangu Usa JAPO HATUKUFANYA KITU
ILIKUWA NZURI SIJUI JINA LAKE CHUMBA KINA
VITANDA VIWILI HEWA NZURIII NGOJA NIMUULIZE SIJUI KAMA ATANIJIBU
 
Back
Top Bottom