NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,273
- 14,524
Kuna gest moja nililala karibu na hiyo parking ya shabiby Kuna madada poa masumbufu sana kila muda yanakugongea mlango na maswali yakijinga jinga tu kumbe yanataka kuwekwa.
Ulichosema ni kweli kabisaDodoma lodge na guest house ni ghali halafu viwango vya chini, wakati dar unapata lodge ya 20000 ni nzuri sana
Bei zao zikojeDodoma mjini kati nenda KENYA LODGE!!