Lodge maeneo ya Msasani

Imefika mahali mwanaume ndani unaacha kuongea nae chochote,,,maana chochote utakachoongea anakipindua na kwenda kukukebehi kwenye mitandao kama sio kukutukana..takataka kama hii mwanaume anaejitambua hawez weka ndani,,,atapiga na kusepa, ni mm tu ndo nilikosea
 
Watu kama nyie ndiyo mnapeleka maburungutu ya fedha benki kila siku hadi mateller wanaingia kingi sio? Alafu unakuta hela sio zako, unatumwa tu.
Ndo manake mtoto kaingia kingi mwenyewe
 
Huyo dada kama ni mtu wa mitandao ya kijamii sana kuna asilimia kubwa akaona ulichoandika
 
Mtoto nimemuambia kuhusu hzo lodge kasema haina shida ikifika lunch tyme nimshtuee
 
kuna muuzaji pale anaenda kuliwa mande leo haa haaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…