sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Wakuu hivi hapa ubungo kuna lodge au hoteli gani bei nafuu kulala lakini yenye quality..then bei gani usiku mmoja?
Ni kweli, cha msingi iwe safi, hewa nzuri, usalama nk...nadhani bei inaendana na luxury ambayo sio muhimu kwangu, haya nipe mchongo kuna bei ya chini ya zaidi ya Kibadamo?Bei nafuu na quality nzuri haya maneno hayajawai kuendena
Nenda Sharon Hotel gorofa Saba kuna 25.000 na 30.000Wakuu hivi hapa ubungo kuna lodge au hoteli gani bei nafuu kulala lakini yenye quality..then bei gani usiku mmoja?
Mitaa ya DC wa Arumeru hiyo ha haMuro lodge bei zinaanzia elfu 15000 na kuendelea njia ya kuelekea maziwa ukimaliza tu ule mtambo wa songac zinafuata
Nenda Sharooon Hotel hotel nzuri mno omba chumba cha 25,000 wambie wakupe vya gorofa sita juuu ni vizur mno asubuhi breakfast safihakuna za 3000?
MmmhMuro lodge bei zinaanzia elfu 15000 na kuendelea njia ya kuelekea maziwa ukimaliza tu ule mtambo wa songac zinafuata
mkuu izo zinapatikana mbeya nishalala sana nilivyokuwa na soma advance miaka iyohakuna za 3000?
Hakuna cha Elfu tatu?Nenda Sharooon Hotel hotel nzuri mno omba chumba cha 25,000 wambie wakupe vya gorofa sita juuu ni vizur mno asubuhi breakfast safi
Hii iko pande zipiMuro lodge bei zinaanzia elfu 15000 na kuendelea njia ya kuelekea maziwa ukimaliza tu ule mtambo wa songac zinafuata
mkuu izo zinapatikana mbeya nishalala sana nilivyokuwa na soma advance miaka iyo
mama angu pindi nabukua , rafiki zangu wengi wa mikoanai waliyokuwa wanakuja dar kibiashara ama kishughuli nyingine nilikuwa nawatafutia apo ndo source ya kuijua, hakuna kingineMmmh
Njia ya maziwa kwenye daraja la mwendokasi kuna njia ya lami inakunja kushoto ni dk 3 kufika kwa miguu na hii ndo ya karibu kuliko na ya uafadhari sema huwa inawahi kujaaHii iko pande zipi