Lodge bei nafuu Ubungo

Lodge bei nafuu Ubungo

Hizo lodge kituo cha Ubungo kikiama zitakuwa na wakati mgumu.
 
nimeshaziandika kwenye kijitabu changu siku nikipata mgeni sina tabu. waku pale MIC bei gani?
 
Wakati unatafuta hizo Lodge, jihadhari na Matapeli Mkuu...!!

Asikusimamishe yeyote yule akakuambia anauza Simu.

Please take my word...!!
 
Umenikumbusha mbali, kademu kangu ka chuo kalinipeleka hotel hapo ubungo external, ilibidi nikaache room kwanza nikatafute zana sikumuuliza hata amepafahamu vipi, jina la hoteli nimelisahau vyumba kuanzia 35- 60k nimelisahau hata ivyo
 
Nenda silver paradise iko close na hapo iko Manzese tip top,elf 35 chumba cha bei ya chini kabisa .acha kabisa hapo
 
Nenda silver paradise iko close na hapo iko Manzese tip top,elf 35 chumba cha bei ya chini kabisa .acha kabisa hapo
Hii nzuri sana na ulinzi upo wa kutosha nikijaga huko skuizi ndo nafikia hapo na nyingine ni rombo green view hapo shekilango ndo sehem naziamini
 
Hii nzuri sana na ulinzi upo wa kutosha nikijaga huko skuizi ndo nafikia hapo na nyingine ni rombo green view hapo shekilango ndo sehem naziamini
Rombo green view resort chimbo langu elfu 40 double then unaenda mitaa ya kona bar kuchukua mrembo wa kusindikiza usiku mwanana asubui break fast ya nguvu free rooms full AC
 
Back
Top Bottom