Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,491
Runzewe lodge, iko pande gani kwa hapo stand ya ubungo?Runzewe nililala siku moja tena ni juzi Mwezi wa 3,ndizi nyama ni 1000
Runzewe lodge, iko pande gani kwa hapo stand ya ubungo?Runzewe nililala siku moja tena ni juzi Mwezi wa 3,ndizi nyama ni 1000
Zitageuzwa hostel au vyumba vya kupangaHizo lodge kituo cha Ubungo kikiama zitakuwa na wakati mgumu.
Huyu ana maanisha Runzewe Mkoani kama unaenda Geita - Nyakanazi..Runzewe ni kamji kadogo sema kamechangamka...Runzewe lodge, iko pande gani kwa hapo stand ya ubungo?
Hizo unalala kibarazani.hakuna za 3000?
NaamWale wadada wawili bado wapo?
Nimetokea "mkoani" nimelala hapo Kibadamo, elfu 30 Room, ila siku hizi uchumi watu husema mgumu lakini nimezunguka hapo kutafuta room, kila hotel imejaa kuanzia Mic Hotel, Kagame na nyingine zenye hadhi zimejaa, nikabahatisha hapo tena kilibaki kimojaUmetoka wapi mkuu?
Hii nzuri sana kwa anayeamka alfajiri kati ya saa tisa na nusu kuwahi usafiri.Ipo mojaa maeneo hayo ina Kungunii oohoo![]()
Huwa hawawapendi wa kulala, vyumba vitakua vipo sema kwa vile wewe unalala wamekuzinguaNimetokea "mkoani" nimelala hapo Kibadamo, elfu 30 Room, ila siku hizi uchumi watu husema mgumu lakini nimezunguka hapo kutafuta room, kila hotel imejaa kuanzia Mic Hotel, Kagame na nyingine zenye hadhi zimejaa, nikabahatisha hapo tena kilibaki kimoja
Pataya papo makini ..kachocho flani hiviNjoo PATAYA G House 20
Hongera zako mkuu, we ndio miongoni mwa watanzania wachache mnayoifaidi national cake vizuriMbona bei rahis hivyo
Yani acha tu nyuma yake kuna kaG.hauz kanaitwa Bonyeza kwa wale jamaa wa Voda FastaPataya papo makini ..kachocho flani hivi
Kama vipi jisogeze hapo lambo motel karibu na njia panda ya Mabibo upate na huduma "shirikishi"...
Kuna tapeli mmoja nasikia huwa anakwenda na wake za watu kwenye lodge moja karibu na mnara wa simu Maziwa, akimaliza anapigiwa simu na mtu ambaye wapangishaji wanasema anampanga ni jamaa yake, ni kawaida yake kula bure ...anaambiwa kwenye simu kuwa mwenye mke amegundua walipo anakwenda kuwafumania, mwanamke baada ya kusikia hayo mazungumzo anatimua mbio, na wengi huwa wanatelekeza hata baadhi ya nguo za kutanguliza ndani wanaona zinawachelewesha kutoroka, wanasepa hata bila kudai nauliWakati unatafuta hizo Lodge, jihadhari na Matapeli Mkuu...!!
Asikusimamishe yeyote yule akakuambia anauza Simu.
Please take my word...!!
Mwamba ana mbinuKuna tapeli mmoja nasikia huwa anakwenda na wake za watu kwenye lodge moja karibu na mnara wa simu Maziwa, akimaliza anapigiwa simu na mtu ambaye wapangishaji wanasema anampanga ni jamaa yake, ni kawaida yake kula bure ...anaambiwa kwenye simu kuwa mwenye mke amegundua walipo anakwenda kuwafumania, mwanamke baada ya kusikia hayo mazungumzo anatimua mbio, na wengi huwa wanatelekeza hata baadhi ya nguo za kutanguliza ndani wanaona zinawachelewesha kutoroka, wanasepa hata bila kudai nauli