Loan Officer, usikimbilie Polisi

Mwandwanga

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,059
1,569
LOAN OFFICER USIKIMBILIE POLISI

1. Zunguka duniani kote huwezi kukuta tajiri msomi aliepata GPA ya 4.6 wote ni mafailure au wenye GPA za 2.5 kama kina billgate.

2. Zunguka duniani kote hakuna tajiri mkubwa alieajiriwa, wote waliacha kazi na kukimbilia kujiajiri, we endelea kutegemea health insurance wenzio wanafanya shughuli zao ni mazoezi tosha hawaugui hovyo kama wewe unaishi kwenye AC

3. Hakuna utumwa mbaya duniani kama kupangiwa maisha yako, kupangiwa muda wa kuamka, kupangiwa muda wa kulala, kupangiwa muda wa kula n.k wenzio tunakula kwa mahesabu maalum tunayojipangia sisi..

4. Hakuna mwosha magari ambae anamichepuko, siku hizi wasichana wanataka watu wanaotembelea gari za mikopo kama zenu, kwaiyo ondoa ile 4000 ya matumizi ya kipuuzi kwa mwosha magari..

5. Hakuna gari mbaya kama ya mkopo, hata nzi akitua unahisi ataiharibu, kichwa kimejaa marejesho badala ya mipango ya maendeleo.

6. Hakuna mtu mwenye hasira ya maisha kama mwosha magari, hakuna binadam anaependa kuwa dhalili hivyo hufanya kazi kwa bidii na kuweka akiba nyingi ili baadae afanye kitu kikubwa zaidi..

7. Hakuna mtu anauhuru wa kuendesha biashara kama mwosha magari, kwasababu hapangiwi kazi na mtu, siku akiamua kuja mtampa pesa, akizingua hamna hata wa kumwandikisha barua kama ninyi mnavyoandikishwa na mabosi mkichelewa dakika5 tu.

8. Mwosha magari anauwezo wa kupata mkopo ambao hauumizi kichwa wala haufilisi kama huo wa benki, akijiunga na vikoba anapata mkopo wa kutosha kufanya mambo yake mengine mengi lakin ww loan officer huwezi kukopa vicoba kwasababu umezoea maisha ya stress za marejesho na kuonekana wa hali ya chini

9. Toka ukoloni ulipoisha kazi ya utumwa imebadilika jina tu na kuitwa ajira lakin kimsingi ingalikua ni karne ile ya 15, tungekuita SLAVE..

Dear loan officer a. K. A mtumwa usibishane na mtu huru ni dhambi kubwa
 
Hahaha haya bhana, nilipopenda zaidi ni pale unapangiwa mda wa kuamka, kulala, kula nk.
 
Matajiri ndio wana ratiba inayobana sana. Google mahojiano ya Mohd wa MITL kipindi cha mkasi.
 
Brother post zako hizi za loan offcer imekuwa kama unawasema wenzio waliofanikiwa kupata ajira walizo zisomea,Yaani unataka huyo loan offcer akaoshe magari au ni vipi?Waache na vi ajira vyao bhana vyovyote vile kwani kuna tatizo gani akilipwa laki 3 kwa mwezi au akikatwa mkopo wake wa paso?hapa ni mjini hakuna sababu ya kufatiliana kwenye mishe za life.Muache muoshaji wa magari aoshe.
 
Nonsense,
Sijwahi kuona muosha magri tajiri.
Unaosema matajiri waliacha shule walienda Harvard university hii inaonesha how hard they worked to be smart.
 
LOAN OFFICER USIKIMBILIE POLISI

1. Zunguka duniani kote huwezi kukuta tajiri msomi aliepata GPA ya 4.6 wote ni mafailure au wenye GPA za 2.5 kama kina billgate.

2. Zunguka duniani kote hakuna tajiri mkubwa alieajiriwa, wote waliacha kazi na kukimbilia kujiajiri, we endelea kutegemea health insurance wenzio wanafanya shughuli zao ni mazoezi tosha hawaugui hovyo kama wewe unaishi kwenye AC

3. Hakuna utumwa mbaya duniani kama kupangiwa maisha yako, kupangiwa muda wa kuamka, kupangiwa muda wa kulala, kupangiwa muda wa kula n.k wenzio tunakula kwa mahesabu maalum tunayojipangia sisi..

4. Hakuna mwosha magari ambae anamichepuko, siku hizi wasichana wanataka watu wanaotembelea gari za mikopo kama zenu, kwaiyo ondoa ile 4000 ya matumizi ya kipuuzi kwa mwosha magari..

5. Hakuna gari mbaya kama ya mkopo, hata nzi akitua unahisi ataiharibu, kichwa kimejaa marejesho badala ya mipango ya maendeleo.

6. Hakuna mtu mwenye hasira ya maisha kama mwosha magari, hakuna binadam anaependa kuwa dhalili hivyo hufanya kazi kwa bidii na kuweka akiba nyingi ili baadae afanye kitu kikubwa zaidi..

7. Hakuna mtu anauhuru wa kuendesha biashara kama mwosha magari, kwasababu hapangiwi kazi na mtu, siku akiamua kuja mtampa pesa, akizingua hamna hata wa kumwandikisha barua kama ninyi mnavyoandikishwa na mabosi mkichelewa dakika5 tu.

8. Mwosha magari anauwezo wa kupata mkopo ambao hauumizi kichwa wala haufilisi kama huo wa benki, akijiunga na vikoba anapata mkopo wa kutosha kufanya mambo yake mengine mengi lakin ww loan officer huwezi kukopa vicoba kwasababu umezoea maisha ya stress za marejesho na kuonekana wa hali ya chini

9. Toka ukoloni ulipoisha kazi ya utumwa imebadilika jina tu na kuitwa ajira lakin kimsingi ingalikua ni karne ile ya 15, tungekuita SLAVE..

Dear loan officer a. K. A mtumwa usibishane na mtu huru ni dhambi kubwa
Where your mind is located ? Sometimes to be smart you must hesitate to copy and paste
 
Back
Top Bottom