Loan Board pasua kichwa

Loan Board pasua kichwa

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,360
Reaction score
21,713
Habar zenu

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde

Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
 
Pole sana mkuu kwel kila kitu kinawezekana ila sasa hapo unawashauri madogo na wao wakikosa wakalie au??
 
Mkuu wasikate tamaa na wanaweza fuatilia kwa ukaribu zaid ni vema wakafanya ivoo,, najua uchungu wa kukosa mkopo hasa sis wa hali ya chin
 
Safi sana ulionyesha ujasiri na kiu ya mafanikio.
 
Hahaha mkuu umenkmbsha mi pia muhanga wa loanboard ctakaa nisahau.kwanza nliaply nkafata taratibu zote nkatuma fomu badae jina likaja kutoka fomu haina cheti cha kuzaliwa na nlituma vyote nkaona isiwe shida nkawatumia tena Sasa cku ya kuzituma nlipata dharura kdg so na zoezi la kutuma likaishia apo ikanilazimu niende ksho yake bodi pale kufika secretary anajibu kwa nyodo muda wa kuleta taarifa zilizokosekana umeshapita hivyo rudi nyumbn ad mwakan au peleka floor ya pili wanatunza barua ad mwakan daah kuskia ivo ad nguvu iliisha ikanbid njikaze nipeleke tu uko juu wakakae nazo wenyew ad mwakan.. Mungu si athuman wakati naelekea kuzipelekaa nkakutana na babu mmoja iv akaniulza shida yangu nkamuelzea jins ilvokua akanambia nifate tukaongozana ad ofisin kwake kufika akanambia nmpatie barua yangu na Naweza kwenda tatzo langu watashghlkia daah sikuamin kilichotokea ilkua ka ndoto af mby zaidii nlkua arts so mkopo kupata nayo ilkua issue ingne. Bas ikapita ka week iv nkaskia kuna batch imetoka kucheki account nkakuta imooo100% daah kiukwel nlmshukuru Mungu mana nlkua nshajkatia tamaa mm mkopo bas tena..... Daah hii stage ya mkopo asee n pasua kichwaa ka n mtt wa mkulima ka ss unaeza jkuta unakua kichaakikubwa jifunze kutoka kataa tamaa mapema pambana paka mwisho
 
Habar zenu

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde

Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Samahan kwan kuna majina yatakayotolewa na heslb kwanza kuwa una sifa ya kupata mkopo au wanakutumia tu kuwa umepata mkopo ??
 
Wanatoa majina,, kwa watu wameo nufaika na mkopo,, then ukiingia kwenye account yako unakuta analysis ya vitu wamevo kulipia,, kama tution fees, accomodation, field, n. K
 
Hivi wakuu hao bodi ya mkopo wanaangalia soft copy ile ya online au wanaangalia hard copy tunayotuma kwa EMS! Au vyote! Au pia ipi ina uzito zaid??
 
Habar zenu

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde

Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Unasoma kozi gan mkuu
 
Hivi wakuu hao bodi ya mkopo wanaangalia soft copy ile ya online au wanaangalia hard copy tunayotuma kwa EMS! Au vyote! Au pia ipi ina uzito zaid??
Vyote,, ckuu ukipeleka malalamiko unaenda na kocpy ya fom ulizo tuma awali kwa ems,,,
 
Habar zenu

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde

Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Ila huu uandishi wako unatia mashaka juu ya ufahamu wako. Andikeni vizuri. Mtu unaandika maneno mengi bila hata alama zinazoeleweka za uandishi. Alama za mkato unaweka mbili na ni msomi wa chuo?

Apa = hapa; afu = halafu
 
Nashukuru umeelewa nilicho andika,
 
Jaman hivi hiyo fomu kama huna sanduku la posta hunapataje sasa
 
Back
Top Bottom