Loan Board pasua kichwa

Loan Board pasua kichwa

Wewe unadhani utaandika upuuzi huu kwenye ushindani halafu nani ahangaike kufikiria ulichomaanisha. Endelea tu hivyo hivyo......
Njoo pm nikupe vyako,, juzi nimepigwa ban kwa wapuuzi kama wew, pita pemben sawaa
 
Peleka stress zako kule ukajifunze kwanza kuandika. Msomi wa chuo unaandika hovyo hovyo tu ukielekezwa unawaka? Ndio maana mnalialia hampati ajira wakati hamna umakini. Unadhani utaandika barua ya maombi ya ajira umejaza upuuzi wako huo halafu nani aiangalie wakati kuna barua 400 za maombi.
 
Kaa mbali na mim wew
 
Back
Top Bottom