Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Afro loading
Ingawa ni genetics but huyo mzee inaonekana anafanya makusudi kuachia afro
Huyu atakuwa ni profisa wa uchumi wa dangayika na hapo akirudi utamsikia anena uchumi una paa mpaka mbengu saba kumbe ni kiini macho
Duu kipara chake kimeenda wrong direction unaweza kuta hata nywele zake nyingine ziko hivyo hivyo maskini
Kichwa kama sholwe kibwenzi