Lo! Mwaikimba

kwa hali ya ubutu wa ushambuliaji tuliyonayo, hakuna kocha ambaye anaweza kumuona Mwaikimba asimjaribu yule jamaa ana kitu fulani ila makocha na yeye wameshindwa kukibusti!
 
Mie naona afadhali ya tegete na mgosi
Mbona una-balance, yaani upo kwa Ivuga na kwa Gang Chomba. Kocha kaita timu kwa ajili ya Challenge na hao wote anawajua,kafanya kazi na Tegete na Mgosi pia,pengine hakuona kitu anachotaka kutoka kwao,sasa kamuona Mwaiki,anataka amjaribu naye. Tusubiri tuone,maana hivi ndivyo timu ya Taifa (inayotokana na ligi mbovu)inavyoundwa. Kitaeleweka tu.
 
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya majaribio! Hebu tulijadili hili wadau.

Kiraka+wa+Polic+2.jpg
 
mwaikimba aahh! siku tumeenda kucheza na senegal wasenegal macho yote kwa mwai tokana na umbo lake.. mpira ulivyoannza alipewa watu 3 wakumkaba lakini baada ya dk 10 walimuacha peke yake no madhara at all...
Unajua hapo sasa ndio tunapokosea na kuonyesha udhaifu wa timu nzima.. Kama watu watatu wanamkaba Mwaikimba basi Mwaikimba anafaa sana kwa strategy ya Ushindi. Nasema hivyo kwa sababu wachezaji wengine wanakuwa huru sana bila kukabwa,Mwaikimba anapokabwa na watu watatu. Wachezaji walio huru ndio wa kulaumiwa kwa nini hawafungi kwani wana nafasi kubwa ya kucheza peke yao na kuleta madhara.
 
Hivi Mgosi ameisaidia nini Stars mpaka leo kama sio kukimbiakimbia tuu uwanjani.? Sijui ana tatizo gani maana akiwa Simba na kucheza na Lipuri anafunga sana ila akija kimataifa ni zero kabisa.
 
Kwa hili sioni kama Kocha kakosea, yuko sahihi tusubiri tuone kama ata perform to our expectation akiwa uwanjani
 
Unajua hapo sasa ndio tunapokosea na kuonyesha udhaifu wa timu nzima.. Kama watu watatu wanamkaba Mwaikimba basi Mwaikimba anafaa sana kwa strategy ya Ushindi. Nasema hivyo kwa sababu wachezaji wengine wanakuwa huru sana bila kukabwa,Mwaikimba anapokabwa na watu watatu. Wachezaji walio huru ndio wa kulaumiwa kwa nini hawafungi kwani wana nafasi kubwa ya kucheza peke yao na kuleta madhara.

tatizo after 10 wanagundua jamaa sio! hivyo kuwa mzigo kwa timu! senegal sidhani kama aligusa mpira zaidi ya mara 5
 
Nadhani mwanariadha mgosi hupata magoli ya kuuropu toka kwa makipa na defence chovu zilizozagaa kwenye ligi yetu........ Hata hivyo hawa makocha wa Taifa Stars na wengineo wawe na uwezo wa kututengenezea wafungaji Aiseee...... Tipate Magoli Geta balaaa duniani.....
Ni hekima wakiibia ibia,kama inabidi tuna wataalamu kibao kwenye fani hiyo... wasione soo
kuwauliza Mzee Sunday Manara,Mzee Kitwana Manara,Mkuu Zamoyoni( dakika Tatu),Mkuu Peter Tino,Chinga One,Na wengineo Kibao ........Siri ya mafanikio yao....... Jamani Tukubali au tukatae,Kila mtu ana nafasi yake duniani....... Nakumbuka Mzee Leya aliwahi kutuchongea Fundi Charahani(Nonda) akaja kuwa Tishio duniani........ Hivi Ugumu uko wapi hapo ? ....... Au hii inamhitaji Ferguson ?.... Makocha achane ubinafsi. Onyesheni wachezaji wenye uelekeo elekeo,wapo Kibao Tunao kina mgosi,Tegete,John Boko,Ngasa....Na wengine wengi tu......... Au Labda Kocha hatuna hapa ?
 
Umeona Snake house! hapa hata mm naanza kukubali labda tatizo ni makocha! kumbuka kiburi cha maximo ndicho kilichomfanya aonekane hafai na waTZ wakamchoka. Km ni hivyo tutafaute makocha wa maana! hakuna kinachotushinda cc. Lakini nackia jana alikuwa kivutio uwanjani ! basi ngoja tusubiri tione!
 
Siku zote ngoja ngoja huumiza tumbo..... Hawa makocha wanajaribisha maisha hapa !
Lets get down to business ......TUWAPE MAJARIBIO YA MUDA MFUPI(MWEZI MMOJA),WAKISHINDWA TIMUA MARA MOJA !
Wapewe malengo..... hawafanyi bure !!!!!!!!!
Haina maana yoyote safari isiyo malengo ..... Mwisho wa siku tuwapime kutokana na mafanikio yao kwenye malengo yaliyowekwa... Dawa ni kutimua mara moja kocha mbumbumbu.
Ngoja nipendekeze Malengo ambayo yanafaa yawepo kwenye mkataba wake :-
1) Kututengenezea Fowadi magoli kali
2) Kututengenezea defence imara akiwemo kipa
3) Kututengenezea Midfielder ya nguvu.
4) Kutengeneza timu ya ushindi,na kutuburudisha watazamaji
5) Kuleta vikombe na heshima
NB:1) Attracive package plus fringe benefit associated
2) Manpower is galore
3) Three months Probation(terminatable) Period will be granted
4) Immediate dismisal will follow on failure to produce satisfactory results
or any act that will lead to bleach of contract expressed herewith.
Aissee tukiweka masharti na muda mfupi mfupi,wa kuprodyusi ,tutafika !
OTHERWISE TUJIKITE KUSAKA KOCHA BORA ........ HALAFU MAKOCHA WETU WAPUNGUZE USINGIZI...KWANINI HAWATAKI KUJIFUNZA ?.... NI NJEMA KWA MKATE.
 
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya majaribio! Hebu tulijadili hili wadau.

nadhani kwa sasa unamuelewa kocha alitaka nini.MWAIKIMBA OYEEE!
 
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya majaribio! Hebu tulijadili hili wadau.

we shirikisho lako ujajadili upopompo mliofanya india uku unakuja kufanya nini una hasira
eeee
 
Unajua Tatizo La watanzania wengi wanajifanya wanajua Soka Kumbe hawajui!!!!!!!!!!! Mgosi Mgosi..... Hebu tuulizane Tangu Mgosi aingie Taifa Umeshasikia anafunga Goli? Mgosi anawika tu akiwa Simba... Bora Mwaikimba...Huyu akimbizi lakini akipata...Wachezeshaji wazuri utamtambua kuwa yeye ni super Striker. Shida wakati Mwingine na Fomation ya Kocha...kwa mfano wakati wa Maximo alipendelea Mchezo wa Kujilinda zaidi kwa Mantiki hiyo ilikuwa Vigumu sana Mwaikimba Kuwika. Ila Paulsen anapendelea Kushambulia na Kujilinda...mimi Naami ni Mwaikimba akijituma atawika tena sana tu.
Kwa Upande Mwingine niwaelimishe Tanzanzania wenzangu vigezo vya Mchezaji Bora ;
>>> Lazima Awe na Umbo Kubwa
>>>Awe na Nguvu
>>> Awe na Kontroo
>>>Awe na Spidi
>>> Atumie akili
Mchezaji akiwa na hivi vyote atawika vibaya
Tumpe Mwaikimba Muda mtaona tu. Kumbuka Mwaikimba alivyozitishia Simba na Yanga wakati akiwa Ashanti. Ni kwa sababu tu alikuwa katika timu iliyokuwa inapenda kushambulia. Kumbuka pia akiwa Yanga Bado alitisha.....Sasa wandugu tuache upenzi na Mahaba yaliyopitiliza. Mgosi kawekwa Taifa Stars hajafunga Goli sasa Mshambuliaji Gani huyo.?

Naomba nikukate kauli. Sio kweli kwamba Mgosi tangu ajiunge Stars ajafunga goli. Nakumbuka alishafunga wakati wa CECAFA Kenya mwaka jana dhidi ya Zanzibar. Zanzibar walikuwa wanaongoza 2-0, Mgosi aliipatia Kilimanjaro stars bao la kufutia machozi.
 
Mtatukana sana lakini ukweli unabaki pale pale,wachezaji wetu ni dhaifu sana.kwanza karibu wote hawawezi kumpita mchezaji wa timu pinzani kwn one-against-one.wanaogopa mpira kukaa miguuni mwao hivyo kushindwa kutengeneza vyumba vya maana zaidi ya gongeana za kawaida kama za mpira wa maveterani.huwezi kumlaumu kocha kwa makosa yetu ya kukosa kizazi kilichokulia kwn mpira zaidi ya 'eti mpira ni kwa wale walio na akili nzito darasani'.
 
mwaikimba aahh! siku tumeenda kucheza na senegal wasenegal macho yote kwa mwai tokana na umbo lake.. mpira ulivyoannza alipewa watu 3 wakumkaba lakini baada ya dk 10 walimuacha peke yake no madhara at all...

Mkuu hapa imebidi nicheke tu pake yangu! Thx JF. :pound::pound:

Hoja zenu zaleta kizunguzungu ......... Hivi mpira ni urefu ?........ and bra brabrah.
Labda kama hiyo ni hoja ya msingi ..... Basi ilikuwaje Mzee Pele,Kocha Maradona waling'ara ? Halafu zungumzeni ,lakini siwezi kuacha kuwataja waliovuma Mzee Kingi Kibadeni Mputa,Mkuu Lunyamila,Mfungaji Bora Mwaka jana-Mgosi,Mohamed Hussein-Chinga one,Mrisho Ngasa.....
Wapo Kibao..... Hawasongi mbele warefu wakiitwa !!!!!!
Halafu mbona walugulu na wangoni wengi wafupi lakini mpira wajua,na magoli wafunga yakhe ! Maulidi Dilunga alikuwa Mrefuu Yule?Hata Mbilikimo wa Brazili ni miamba wa soka duniani !
Acheni hizo wasee.......... Nimesema Hatutoki humu mpaka kwanza tukubali,kuwa aliyewika alikuwa nguli! Na kwamba ushauri wake utatufaa ,unatufaa na ulitufaa !!!!!!!.....
Halafu tujihadhari na makocha mbumbummbu.....wasije siku wakatuchagulia watazamaji kutuwakirisha kwenye game !!!!
WAKATI MWINGINE UNAPODHANI WAJUA,KUMBE DOLO WEWE !
TUKUBALI ......
1) Wachezaji wetu wanajua kucheza mpira kwa kiwango cha kutosha
2) Wanayo nia ya kujifunza zaidi
3) wanao uwezo kwa kufunzika
4) wanaweza kufikia kiwango cha juu cha uchezaji
5) Something is missing..... pertaining upgrading startegies !!!!!!
SI TUNATAKA KUWIKA KIMPIRA ?
 
kama ungekuwa unatumia kalamu ningesema unamaliza wino kwani naona kama unajijambisha mwenyewe katika maandishi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom