Llb: Wapi evening college hapa dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Llb: Wapi evening college hapa dar?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kottler Masoko, Apr 12, 2012.

 1. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari zenu ndugu!

  Ninataka kusoma LLB kwa intake ya 2012/2013, naomba kujuzwa ni chuo gani kinatoa LLB kwa Madarasa ya Jioni na ubora wake ktk utoaji wa hiyo elimu ya sheria kiujumla.
  Nilipata chuo kimoja cha UK (LSE) kwa Distance Learning(4 years) lakini nimesikia kwa watu wengi wakisema kwamba kwa first degree ni better ukasoma locally,so pia nimezingatia hilo.

  Ninaomba kupata mawazo yenu wadau wa Sheria katika kufanikisha hii azma yangu.

  Kumbukumbu: me ni mwajiriwa na mfanyabiashara kwa hiyo sitaweza Full Time classes.
   
 2. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nenda Open University of Tanzania (OUT)
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :

  haswaa!
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wakuu out inachukua muda gani? am interested too
   
 5. B

  Bandio Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
Loading...