LL.B 1st class holder

Na wewe uache kauli za wenda wazimu...huna tofauti na babu zako walikuwa wanaamini shule ni ya serikali tu..ss hv mbona wenyewe mnawapeleka makinda zenu huko private
Kinacho matter ni qualifications za mtu na co huo utumbo wa Jina la chuo..hv tutabdlk lini na kuwa na mitizamo ya kisomi!! Infact you are full of sh*t..nisiseme sana ila jina la chuo halimbebi graduater hata cku moja..kwanza we Umegraduate wp na..

kwa matokea hayo bado ucngepata chance udsm,pale wenzio 2meingia na pts 3-5.

BBC NI DVS one ya 7 mh Bado kilaza hao wa UD Wenye matokeo yenye Rangi je?

hivi vyuo vya private hapa bongo vina matokeo ya ajabu sana, utakuta mtu ana passmarks za juu lakini mkichwa hamnazo, sina maana kua wwanafunzi wanaosoma huko wote ni vilaza no but nina mashaka na mfumo wa elimu utolewao ktk vyuo hivi. Japo pia kutokuwa na 1st class kwa muda mrefu pale Udsm c kipimo cha competence

haaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! jamani muacheni tu kama ni ya kweli au uongo au ukweli atajijua mewnyewe jinsi ya kujitetea c mnajua mambo yote maswali na majibu kama kilaza watu hujua tu.

Fuatilia wanafunzi wa udsm wanafaulije law school of Tanzania kulinganisha na wanafunzi wa Tumaini.

natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice

Very talented 1st class wakati mnasoma miaka 3? Rudi shule kamalizie wenzako wanapiga 5 wewe kilaza. Anyway ndo shida ya vyuo vya kata wakina Mulugo kibao?

Hivi JK alisoma chuo cha kata mpaka akapata udaktari? Dah, maana utawala wake una mashaka kweli!

Hesabu 1 + 1=2 lakini kwenye sheria 1 + 1 siyo lazima iwe 2. Kwenye sheria unatakiwa kujenga hoja yenye ushawishi.

Very talented 1st class wakati mnasoma miaka 3? Rudi shule kamalizie wenzako wanapiga 5 wewe kilaza. Anyway ndo shida ya vyuo vya kata wakina Mulugo kibao?

Kaka kusoma miaka mi3 au mi4 cyo determinant ya kuwa mkali LL.B instead ni mtaala tu wa chuo husika wanavyoupanga, wewe ungekua msomi ucngekurupuka kuandika mashudu kama haya, kwa taarifa tu ni kwamba ili degree itimie na kuna idadi ya units kadhaa kama ckosei ni 360 ambazo zinapatkana ktk masomo principal na electives ambayo mwanafunzi anasoma chuoni (kwa kozi nzima ya LL.B in Common Law countries principal subjects ni 36 na kila somo lina units 10 kwahiyo 36 ¤ 10 = 360 units ambazo ndio znakamilisha Degree, ila ukikuta chuo kinaamua kuongeza masomo pia haijakatazwa ila 36 ndio Lazima)
Mzumbe for example wao ni miaka 3 na kwa semester wanasoma masomo 6 so mara semester 6 ni masomo 36 tayari, Udsm na SAUT on the contrary wanasoma less than 6 subjects kwa semester sasa mathematically tu unahic watamaliza masomo yote 36 ndani ya miaka 3!!? Ndio maana wanaongezea mwaka wa 4 lakini haimaanishi kwamba eti huo extra year ndio wanapewa nondo za kuwatofautisha na vyuo vingine hamna kitu inshort hamna ulichosoma ww mtu wa miaka 4 ambacho mwenzio aliesoma miaka 3 hajakisoma!, acha nonsense uwe mdadisi cku nyingine na for the record kwa taarifa yako hvyo vyuo unavyovijua wewe kwamba ndio top duniani kama Harvard, Cambridge, Oxford, Princeton na Duke University na vingine kibao hapahapa Africa esp vya South Africa na Kenya LL.B ni miaka 3, jitahid kumeza hivyohivyo hata kama ya uchungu!

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…