Asanteee...Nimepitia blog yake...imekaa vizuri.
Niko hapa Bebii...lizzy kweli upo wapi?
Angalia uone bana....Ngoja niicheki hiyo blog.
Ina nin lakini?
Hahahaha...haya bana!!Dah mtu wangu utafikiri we ni mtu wa masoko (marketing)..... yaani ulitutengenezea scarcity hahahaha
Naamini umerejea kwa kasi ya ajabu zaidi ya JK.....
Nimefurahi kukuona!!!!
Ngoja niicheki hiyo blog.
Ina nin lakini?
Ndio Bebii...vipi mbona kama una wasiwasi???Hiyo blog ni yako kweli? Lizzy
Hahaha...karne hii???SIDHANI!!Mimi nilidhani Mr. kapiga mkwala usiingie JF
Kweli tumikumiss mwaya.Salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!
Machame bana....
Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!
Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!
Na kweli si bure....
Na mimi niliwamiss pia...Kweli tumikumiss mwaya.
Nimefurahi Lizzy umetupa ishara kuwa upo.
Mara nyengine tutonye kabla hujapotea. Wengi walikumiss!
Ubarikiwe dada Lizzy!
wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo" tayari sisi tunacheka tu. Uta "ngo" na wewe
Nooo, sio hivyo dear, nilkusudia ukipotea kwa majukumu.Na mimi niliwamiss pia...
MM ulidhani nimeondoka duniani bila kuaga nini...???lolz!!Muda bado bana...majukumu tu yanabana!!
Na mimi niliwamiss pia...
MM ulidhani nimeondoka duniani bila kuaga nini...???lolz!!Muda bado bana...majukumu tu yanabana!!