lizzy na uporoto1

Hahahahahahha lol
dahhh nimependa rangi ya
kofia na sweta hata ukipigwa na radi hufi.. dahhhhh

Cheusi mpendwa nielekeze kwenye duka gani ntapata hizo kofia kuna mtu anaitwa NN huwa wa hasira mara nyingi hiyo rangi itampooza tu hahhahahah lol
 
hizo kofia hazijanunuliwa,ni kazi ya mikono ya uporoto,hicho kijunju tu kwenye kofia ya lizzy kilimchukua uporoto wiki 3 kukifuma,sina uhakika nani kati yao alichagua hii rangi.
 
Hahahahahahha lol
dahhh nimependa rangi ya
kofia na sweta hata ukipigwa na radi hufi.. dahhhhh

Cheusi mpendwa nielekeze kwenye duka gani ntapata hizo kofia kuna mtu anaitwa NN huwa wa hasira mara nyingi hiyo rangi itampooza tu hahhahahah lol

Wewe AD wewe....nakukorogea dawa yako.
 
Hahahaaa Lizzy Madividii umepinda wewe lol.
 
The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Asha D (Today), cheusimangala (Today)​

Halaf wamebadilishana mabegi, mjomba uporoto kala lady in pink na Lizzy kaondoka na boy is blue, heheeh hawa hata kifo hakiwatenganishi aisee.

hahhahaaha klorokwin hii niliimiss vipi jana,kopa kitochi waambie nikipokea mshahara nakuja kulipa nimecheka utadhani natekenywa.
 
mim ndie nimetoka mbali na uporoto sema si unajua ukishazeeka hata anti aging zinadunda inabidi tu nikubali,
hata mim nammiss sana lizzy leo,kila nikimchungulia holaa
Jamani black beauty wangu samahani kama nimekukwaza sijaingia JF siku mbili ndio maana sijaiona hii,tuna utani na members wengi hapa na kweli sa zingine tuna 'flirt' kidogo lakini ujuwe Lizzy ni ndugu yako wa pale mlima mrefu na hana dhamira ya kupindua jahazi me love you always.:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:.
 
In JF Signature speak louder than words....lol

CHEUSIMANGALA yesterday,today,tommorrow and ALWAYS.
​

ktk watu ambao hawawezi kunikwaza wewe ni nambari one,
nayaamin maneno yako kuliko ninavyojiamin,,,,,,!
senkyu so much for those blue words.
i know u kan go east n then west but kwa cheusie u will always come back na hata ukiwa umefulia ntakupokea
 
Pole dear... nimefurahi kuniona kwako imefanya iwe nafuu... nini lakini???[/QUOTE]

tarehe ya leo inanikumbusha siku uporoto alivyonambia nikimuona yuko na lizzy nikijifanya simjui atanipa zawadi,,,,
 
⸮⸮⸮⸮⸮⸮.............???????
Mmmh mhhh mhhhh!
 
asante lkn nshazoea mwaya,mwanzon nlikua nalia hadi macho yanakua ka nimekula ndumu lkn sasa nafanya maomb il arudi kwangu jumla.nisaidien kusali jaman ndugu zangu kunyanganywa mume ni fedheha siwez eleza:biggrin1:

Cheusimangala don't worry maombi yamepokelewa sema tu leo Uporoto1 kaenda kwenye emergeny fulani huko.. kwa kutuliza moyo chukua hii special for Uporoto1 Signature...

CHEUSIMANGALA yesterday,today,tommorrow and ALWAYS.
​

Hahahaaa Lizzy Madividii umepinda wewe lol.

⸮⸮⸮⸮⸮⸮.............???????
Mmmh mhhh mhhhh!
Unaguna nini please refer to the above statement.
 
Cheusimangala don't worry maombi yamepokelewa sema tu leo Uporoto1 kaenda kwenye emergeny fulani huko.. kwa kutuliza moyo chukua hii special for Uporoto1 Signature...

CHEUSIMANGALA yesterday,today,tommorrow and ALWAYS.
​

usidanganyike na signaturi shosti yangu,nimekwambia nisaidie maombi,au kama hutak nambie mana martha mwaipaja aliimba kuwa wkt wa shida hata mashoga zako watajitenga nawe...lolmaombi bado yanahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…