lizzy na uporoto1

Mpenzi wewe hujakosea kabisa, tena uzuri si muhusika - ungekua mkusika Uporoto na Lizzy wangekugeuzia kibao; kwenye uongo ukweli hujitenga. Mini nimefurahi ukweli umejulikana bora tu CPU atafute utaratibu mwingine....lol

The Following User Says Thank You to cheusimangala For This Useful Post:

Asha D (Today)​
 
Kumbe mambo ilikuwa komplex hivi. Hapo Mungu ndiye pekee atakaeweza kuwatenganisha.

Asante EMT.... Uporoto na kloro mmemsikia EMT jamani.... leo sijali kua ni ma boss wangu....lol
 
Hakuna chochote bana! mwaga mafoto. Asha D kauziwa album feki, tunaomiliki CD original tumeuchuna tu.
 
shosti unavyolia ndo mim jasho la kwapa linavyozidi kunitoka,mdomo umenikauka sijui lakufanya,why me jamani,but am:mimba:,so nobody should touch me even if am wrong
 
mmmhhhh mambo ya kurudishana nyuma.....Lizzy,please let the world know where you stand....:A S-rose:
 
Duh! enzi hizo wakiwa ushimundu akademia! lakini................
 
this can not happen,moyo wa CPU siwezi kukubali kuona ukiishia ICU,le me see what i can do to solve this,
najuta,ila siku zote tokea nimerudi tunaongea lkn hata kunigusia hili,mim nakutupia wewe lawama,let me change heading right now.Kwa hiyo uporoto ni kama nani kwa lizbeth.
 
Hakuna chochote bana! mwaga mafoto. Asha D kauziwa album feki, tunaomiliki CD original tumeuchuna tu.

Naona wazidi kuyakoroga... Hao watoto sura za Uporoto na Partner.. NO MISTAKE!!!

shosti unavyolia ndo mim jasho la kwapa linavyozidi kunitoka,mdomo umenikauka sijui lakufanya,why me jamani,but am:mimba:,so nobody should touch me even if am wrong

Honey i repeat you are not wrong... LIZZY and UPOROTO are... namngoja kwa hamu partner...

mmmhhhh mambo ya kurudishana nyuma.....Lizzy,please let the world know where you stand....

Hapa ni sawa nakusema unaanza mwanzo tena... lakini kama ulivyosema aje Lizzy aeleze ukweli, ukutute tu hiyo ni puppy love na mapenzi ya kweli yapo kwa CPU...

It wont happen... bahati mbaya wahusika hawapo wanapeana mapenzi motomoto hukooooo...
 
mmmhhhh mambo ya kurudishana nyuma.....Lizzy,please let the world know where you stand....:A S-rose:
Bora! manaake hata mimi Lizzy kaondoka na mtaji wangu! halaf baada ya kuondoka na mafao sasa kagoma hata kujibu PM zangu. Hii haki jamani? mtu mzima nashikishwa pembe?
 
Bora! manaake hata mimi Lizzy kaondoka na mtaji wangu! halaf baada ya kuondoka na mafao sasa kagoma hata kujibu PM zangu. Hii haki jamani? mtu mzima nashikishwa pembe?
ukome na wewe,umezidi,natamani ufilisike labda utatulia.....muone kwanza,mshika pembe mkubwa,na si kwa Lizzy tu,kuna sehemu tena umehsikishwa pembe....:dance::dance::dance::dance:
 
ukome na wewe,umezidi,natamani ufilisike labda utatulia.....muone kwanza,mshika pembe mkubwa,na si kwa Lizzy tu,kuna sehemu tena umehsikishwa pembe....:dance::dance::dance::dance:

Khaaaa! hiki wikiliki mpya sasa! mtauwa wadada wa JF.
 
Hapo kwenye red panatisha.
 
aiseee hapo ni kijijini uporoto? au ni anga za unga ltd?
 
Aiseeeee!!
Kwanza asante CM kwakunikumbusha mbali mpenz...yani those are the days i will never regret!!Uporoto alikua ananiambia ana sh.20 yake na akipata change tu ananipa sh.10 ili na mimi nijinunulie maandazi wakati wa mapumziko.Alikua anaogopa kununua anigawie maana watu wageanza kutuimbia TUNAMEREMETA...WACHUMBA...BABA NA MAMA na mimi nlikua sipendi!!

Kesi baada ya kumbukumbu...Dearest,Partner Nyaniizzo na Kloro naona mmeenda weeee mpaka mkanikopesha kesi...sasa ngoja niwarudishie maana kila mtu macho juu wanasubiria tifu...yani mpaka mmemfanya CM ajute kupekua album ya Uporoto na kumkosesha usingizi my dear husband Sipi to the Yu!!
Picha tu inaonyesha we go way back...mvua ilinyesha alikua ananishikia jani la mgomba nisinyeshewe...nikipoteza penseli zangu ananipa zake...kabegi kangu alikua ananibebea maana kalikua kazito utadhani nasafiri kwahiyo NDIO NAMPENDA UPOROTO tangu enzi hizo navaa jeans ndani ya sketi ili nisichunguliwe na kioo na bonge ya ndula utadhani naenda mlimani!!!Baadae tukapotea na wote tukasonga na maisha...dearest akampenda CM na mimi Sipiyu...sijui CM alimfanya nini maskini mpaka akaamua kuachana nae.Nwy ananipenda na mimi nampenda sema naheshimu na kuipenda ndoa yangu!!

Me love you all...hata waliotamani mambo yavurugike!!Sorry to dissapoint you desh desh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…