hii ngoma ni tamu mnooo hasa ikipigwa bila kuchakachuliwa kwa nyimbo mbovu za kusifia chama cha magamba. ukianzia LUHILA KWA MCHAYA, matogoro kwa komba kasoma, makambi, mateka, mahenge kwa mwenyekiti challe bombambili hhaaaa enzi hizo miaka ya themanini ikifika mwezi wa sita na wa saba kuendelea makanisa yote yanafululiza kutoa KOMUNIO YA KWANZA KWA WAKATOLIKI, basi kuna ka wimbo flani kalikuwa kananikosha utsakia akina mama wanaimba LELU KUONJAA LELU KUONJA KUONJAA eti leo kuonja kwa mara ya kwanza ekaristi takatifuuuu
Ha ha ha ha wewe bana na huu je?? Tibuka lepa......malizia
Ha ha ha ha wewe bana na huu je?? Tibuka lepa......malizia
Kweli siku hazigandi... Hizo siku hazirudi tena.hii ngoma ni tamu mnooo hasa ikipigwa bila kuchakachuliwa kwa nyimbo mbovu za kusifia chama cha magamba. ukianzia LUHILA KWA MCHAYA, matogoro kwa komba kasoma, makambi, mateka, mahenge kwa mwenyekiti challe bombambili hhaaaa enzi hizo miaka ya themanini ikifika mwezi wa sita na wa saba kuendelea makanisa yote yanafululiza kutoa KOMUNIO YA KWANZA KWA WAKATOLIKI, basi kuna ka wimbo flani kalikuwa kananikosha utsakia akina mama wanaimba LELU KUONJAA LELU KUONJA KUONJAA eti leo kuonja kwa mara ya kwanza ekaristi takatifuuuu
Kweli siku hazigandi... Hizo siku hazirudi tena.
<br />Desidii wewe ni wa nyumbi ii?
Dah! Yaani Ngunja mpaka mifukoni...!never will they come back! huwa nikirudi kunyumba natembea barabarani maeneo tuliyokuwa tuna enjoy miaka hiyo sasa hivi dah kwishnei maisha yamekuwa naguuumu mno nyasi kila sehemu viwanja tulivyokuwa tunapiga boli hakuna mwamko dah
Yaaniii we leka tuu................ KUNA HII KITU MADOGOLI......usiku kucha peku peku kwenye NGUNJA ................Kuna pale KILABU CHA UGIMBI LIZABONI................. madogoli usiku...............asubuhi mnajihimu kutafuta hela................hii ngoma ni tamu mnooo hasa ikipigwa bila kuchakachuliwa kwa nyimbo mbovu za kusifia chama cha magamba. ukianzia LUHILA KWA MCHAYA, matogoro kwa komba kasoma, makambi, mateka, mahenge kwa mwenyekiti challe bombambili hhaaaa enzi hizo miaka ya themanini ikifika mwezi wa sita na wa saba kuendelea makanisa yote yanafululiza kutoa KOMUNIO YA KWANZA KWA WAKATOLIKI, basi kuna ka wimbo flani kalikuwa kananikosha utsakia akina mama wanaimba LELU KUONJAA LELU KUONJA KUONJAA eti leo kuonja kwa mara ya kwanza ekaristi takatifuuuu
Bambo usengwile sana wenga!penyewe hapa tumiburudika sanooo,umitukumbusha kunyumba wenzako!
ahahaaaaaa mpaka tim..... UGIMBI hahahaaaaa