Oh! masikini Liyumba, keshakula mvua 2!. Lazima akate rufaa!, ameonewa bure!, muhusika halisi alishatangulia mbele ya haki.
Pole Liyumba pole. Haki ya mtu kamwe haipotei, inaweza kucheleweshwa tuu!
Pamoja na kukosa uhuru, huduma muhimu kama 'conjugal visit' pia zinapatikana kwenye magereza yetu siku hizi.
Hizi ziunganishwe!.Mode its high time kuziunganisha hizi thread za Liyumba, ziko nne (4) ukurasa mmoja!.
Haya matumizi mabaya ya ofisi ni nini? Au alijinufaisha kwa kutumia ofisi!
Miaka 2 minus mda aliokaa selo tayari=0
Angalia kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, 2007, Na. 11/2007:Haya matumizi mabaya ya ofisi ni nini? Au alijinufaisha kwa kutumia ofisi!
Miaka 2 minus mda aliokaa selo tayari=0
Yaani mimi kila nikiona Gazeti limeandika Liyumba na nunua sasa leo naenda kuyachoma yote!