mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,851
- 3,486
kasi hiyo inaonekana wapi
ndio kazi yake kubwa ni uchekeshaji umewahi kumsikia akitoa hoja ya kusaidia wanachi wake wa Mtera?????Nimecheka na kufurahi sana, Lusinde hakika ni JEMBE! Eti kasema sindano imeingia, hahahah
"Nampongeza Rais Magufuli,amewafanya wapinzani wa nchi hii hawana hoja ya msingi.Ndio maana wakisimama hapa hawana hoja yoyote ya Msingi.Rais Magufuli akiendelea na spidi hii 2020 hatutakua na mbunge wa upinzani hapa."
Haya ni maneno ya Mbunge wa CCM jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akichangia bungeni jana.
My take:
Hivi Dodoma hasa mtera,ukosefu wa lishe umewafanya wadumae kiakili mpaka kukosa mtu wa kuwawakilisha bungeni?Dodoma shtukeni mtakuja kukumbuka shuka kumekucha
Hivi kubaini usahihi wa kauli nayo ni chuki? Wengine hatuna mahaba niue na wanasiasa tupo katika kuweka sawa mambo. Akikosea yeyote lazima tumkosoe na kumpa usahihi.Huyu naye mnamchukia kama mnavyomchukia Dr Tulia?. Mlimchukia Mama Makinda, mkamchukia Spika. Kazi yenu ni kumchukia kila anayewaambia ukweli.
Mbeya si wamemchagua yule 2 proud hivi anaelimu gani yule muimba bongo flava?huyu STD SEVEN ?wagogo tu ndo hawajielewi angekuwa mbeya au arusha au mara wangeshampiga chini siku nyingi uwezo wake uko chini sana.
Hapa wataumia wengi sana kuanzia mwenyekiti wetu na mpendwa wetu wa ubungoAombe wasijebadili kigezo cha kwa mbunge kutoka kile cha kujua kusoma na kuandika hadi shahada(degree) mbona atajuta.
Mara ipi, kule walikompumzisha Vicent na kuamua kuirudisha ccm? Watanzania ni wa aina moja tena usijaribu kuwaomba uwatawale kwa kigezo cha elimu yako utaumbuka, muulize Dr. Masaburi atahadithiahuyu STD SEVEN ?wagogo tu ndo hawajielewi angekuwa mbeya au arusha au mara wangeshampiga chini siku nyingi uwezo wake uko chini sana.
Unataka kutuambia hata sisi wa Ubungo tuna elimu za hapa na pale kwasababu mbunge wetu haijulikani ana elimu ya kiwango gani?Kama mbunge anakuwa na elimu ya darasa la saba, je, hao anaowaongoza wana elimu ya kiasi gani? Huyu ni vuvuzela ambaye kazi yake ni kuropoka tu na kamwe hana uwezo wa kujenga hoja kutokana na kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri unaotokana na kukosa elimu.
kwa akili yako unaweza mfananisha sugu na kibajaji?kibajaji ni std seven F ndo maana wanataka sanamu la diamond liwekwe bungeni,wengine bangi iharalishwe bungeni kina msukuma duuu kweli ni shida.nipe na wewe mchango wa wabunge wa upinzani wanaochangia pumba.Mbeya si wamemchagua yule 2 proud hivi anaelimu gani yule muimba bongo flava?
aah wabunge waupinzani wanatema madini matupu kamanda, wakiongozwa na 2 proud aka sugu moto chini.kwa akili yako unaweza mfananisha sugu na kibajaji?kibajaji ni std seven F ndo maana wanataka sanamu la diamond liwekwe bungeni,wengine bangi iharalishwe bungeni kina msukuma duuu kweli ni shida.nipe na wewe mchango wa wabunge wa upinzani wanaochangia pumba.
"Nampongeza Rais Magufuli,amewafanya wapinzani wa nchi hii hawana hoja ya msingi.Ndio maana wakisimama hapa hawana hoja yoyote ya Msingi.Rais Magufuli akiendelea na spidi hii 2020 hatutakua na mbunge wa upinzani hapa."
Haya ni maneno ya Mbunge wa CCM jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akichangia bungeni jana.
My take:
Hivi Dodoma hasa mtera,ukosefu wa lishe umewafanya wadumae kiakili mpaka kukosa mtu wa kuwawakilisha bungeni?Dodoma shtukeni mtakuja kukumbuka shuka kumekucha
tunaomba ushahidi tafadhali. otherwise hatutakutoa kwenye group la wapumbaf na wajingaRichmond ni ya Kikwete