Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Livingstone Lusinde aibu hii utaiweka wapi?

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Ulipotosha umma jana na elimu yako ndogo, wanaccm wenzako wamekugeuka kwa kuongea pumba zako.

Hapa naamini shule kwenye masuala ya siasa inahitajika, hivi jana ulipokuwa unaisemea serikali na maneno yako ya kanga na machafu ambayo hukuongea point hata moja, you show how stupid you are.
 
Yani kalinikera kweli kalikua kanaongea utadhani ni ka MC ka vigodoro lol shule ndogo kweli na bado kakata kuudanganya umma eti hakuna Haramu kwenye ndoa na kakatoa tafsiri ya uongo kwani tafsiri halisi ya halichokiongea kiarabu ni " Mwanaume atakua msimamizi au kiongoz wa mwanke" sasa sijui kalikua kanamdanya nani? kakaongea pumba na maneno ya shombo mara ntakupa MAKAVU we NASSARI nini maana ya makavu? mbona ata ss lugha za mateja tunazijua lakini BUNGENI hazifai mara huyo aliniomba ila huo mchezo mie sifanyagi BULL SHIT ndo tukuone wa maana au punguani? CCM ijaribu kuweka wabunge wenye akili na sio type hii
 
Yani lusinde ni zaidi ya stupid, nashangaa hata hao wananchi wa ludewa kazi anayo
 
Luside ni mbunge wa mtera co ludewa mbunge wa ludewa jembe deo fulukunjombe kijana makini na mtu makini daima hutemba ktk maneno yake yeye nchi kwanza ccm badaye km me
 
mpuuzi huyu analeta umtaani bungeni! mara mi sifanyi michezo hiyo mara mbunge gani kambania pua! kusema kuwa ana shule ndogo isiwe sababu ya kutokumsema huu ni ubaradhuli uliotukuka mahali pale sio pa kuleta mashairi ya mchiriku huo ujuha hauvumiliki.
Binafsi hata kange lugora alinikera kufanya maigizo yale.
 
Jamaa hana akili..busara wala hekima..amejionyesha.jinsi alivyo dhaifu sana sanaa
 
aliwakebei waislam adharani, alinikera sana.
 
Yaani jamaa anapewa dakika 30 anaongea kama mwanamke wa uswahilini mwananyamala. Alinichefua chefu hadi nikamtapikaaaaaaa

ni kweli mkuu, jamaa ame jidhalilisha sana. amejidhalilisha sana, alikuwa ame base kwenye mambo ya kingono na kishoga wakati mjadala ulikuwa ripot ya PAC'
 
Kitendo cha kumdondosha mzee malecela kimemfanya lusinde ajionee km super star bungeni ila ajue mwakani uchaguzi tena hivyo wananchi wanawaona na kuwapima kikamilifu mana watu husema bora uteleze mguu kuliko ulimi madhara yake ktk box la kura
 
Luside ni mbunge wa mtera co ludewa mbunge wa ludewa jembe deo fulukunjombe kijana makini na mtu makini daima hutemba ktk maneno yake yeye nchi kwanza ccm badaye km me

Ni kweli nashukuru mkuu, huyu jamaa ana maudhi sana
 
Yaani jamaa anapewa dakika 30 anaongea kama mwanamke wa uswahilini mwananyamala. Alinichefua chefu hadi nikamtapikaaaaaaa

Kwa kweli anakera mnoo
 
kwanza swala lenyewe alisema haelewi elewi sasa sijui alikua anachangia nini maana minilimwona alikua anataka achekeshe tu
 
Back
Top Bottom